WanaJF,
Wakati wabunge wa bunge la JMT na wajumbe wa bunge maalumu la katiba wakililia posho iongezwe, kwa mhe. Zitto imekuwa tofauti kwani yeye amepanga kugomea posho hiyo.
Maamuzi ya mhe. Zitto ya kugomea posho sio mageni, kwani ni mbunge wa kwanza wa bunge la JMT kuwahi kukataa posho za vikao na kusimama na msimamo huo mpaka hii leo.
mhe. Zitto ameonekana kuwashangaa sana wabunge wanao simamia suala la kuongezeka kwa posho kwa kigezo cha kuongezeka kwa gharama za maisha. Hapa alihoji, hizo gharama za maisha zinakuwa kwa wabunge pekee?!!! Vipi na kwa Watanzania wengine hasa walala hoi?
Mkuu mbona kuna wengi wameishazikataa. Nafikiri comments zako zingekuwa na mshiko zaidi kama ungelichuka muda kidogo kupata references zingine zaidi. Kumbuka kuna baadhi ya vyama vimeshatoa msimamo tayari wa kukataa nyongeza, na wewe unaongelea mtu mmoja tu!! Labda ndizo kampeni za chini chini unazozijua au vipi?
Ungekuwa SMART ungewataja hao wabunge wengine na hivyo vyama ambavyo wame/vimekataa hiyo posho.Mkuu
mbona kuna wengi wameishazikataa. Nafikiri comments zako zingekuwa na
mshiko zaidi kama ungelichuka muda kidogo kupata references zingine
zaidi. Kumbuka kuna baadhi ya vyama vimeshatoa msimamo tayari wa kukataa
nyongeza, na wewe unaongelea mtu mmoja tu!! Labda ndizo kampeni za
chini chini unazozijua au vipi?
Naona mkuu umesoma uzi wangu ila umeshindwa kuuelewa. Ambacho nimesema ni kuwa Zitto yeye atopokea kabisa posho, sio kwamba akubali posho iongezwe, lah hasha, yeye atopokea kabisa. Nadhani sasa utakuwa umenielewa.
za kwenye briefcase nyekundu hazijaisha tu?Naona mkuu umesoma uzi wangu ila umeshindwa kuuelewa. Ambacho nimesema ni kuwa Zitto yeye atopokea kabisa posho, sio kwamba akubali posho iongezwe, lah hasha, yeye atopokea kabisa. Nadhani sasa utakuwa umenielewa.
Zitto anaonyesha njia, tumuunge mkono!
Just Imagine kuna watu bado wanaendelea kulipwa mshahara wao wa mwezi japo hawapo kazini kwa kuwa wapo dodoma kwenye bunge la katiba, still wanalipwa posho laki tatu kwa siku na bado eti wanadai laki tatu haitoshi!.
ZITTO ni mzalendo pekee aliyebaki kwenye bunge hilo. Jana nimesoma post ya Joshua Nassar aliyopost kwenye ukurasa wake wa facebook, ni post ya NATAKA SITAKI.
Xaf xana shukrani zimfikie mheshimiwa zito na Mungu amtie nguvu katika kupigania maslahi ya watanzania
za kwenye briefcase nyekundu hazijaisha tu?
Naona mkuu umesoma uzi wangu ila umeshindwa kuuelewa. Ambacho nimesema ni kuwa Zitto yeye atopokea kabisa posho, sio kwamba akubali posho iongezwe, lah hasha, yeye atopokea kabisa. Nadhani sasa utakuwa umenielewa.