Zitto Kabwe: Siku hizi Rais anateua watu halafu baadae ndio anakagua vyeti? Vetting imekufa?

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
capt.PNG
 
Hakuna atakayesikiliza. Siasa za Tz ni kama raia tu wanavyoishi mitaani wakishauriwa mambo ya msingi kabisa wanachukulia personal, wanabeza, wanasema aaah huyu naye hala lolote but in reality mawazo/ushauri ungefanyiwa kazi mambo yangeenda fine. Bungeni wanakaa wanawake na wanaume wanatetea maslahi ya kifisadi na ukandamizi unajiuliza what the fu*ck is going on? Wananchi na wenyewe hawaelewe wapi wasimame, reasoning ndogo kabisa kiasi kwamba hawajui hii ni sawa au si sawa. Huu ushauri wa bwana Zitto upo sawa lakini lazima itafutwe njia ya kushinikiza kama hakuna anayesikiliza.
 
Back
Top Bottom