Zitto Kabwe: Siku hizi Rais anateua watu halafu baadae ndio anakagua vyeti? Vetting imekufa?

Si kweli usiyaombee makabila mikosi "wasumbwa tuimanye kubhusere kubhakima byo"
Ha ha ha ha haaaa! Mkuu tulishawameza, hapo ukisemeshwa Kisukuma utashuka kuliko hata Msukuma mwenyewe. Wasumbwa ni shemeji zangu lakini tukikutana tunapiga Kisukuma tu, hata wakikutana wawili wanapiga Kisukuma. Baghishage nkoyi a'hakaya!
 
ZK hakuna wakukusikiliza kwa sasa wanasema hapa kazi tu hata kama ni za hovyo. Sisi yetu macho na masikio
 
Ha ha ha ha haaaa! Mkuu tulishawameza, hapo ukisemeshwa Kisukuma utashuka kuliko hata Msukuma mwenyewe. Wasumbwa ni shemeji zangu lakini tukikutana tunapiga Kisukuma tu, hata wakikutana wawili wanapiga Kisukuma. Baghishage nkoyi a'hakaya!
Tyani yewa:D wamezeni wazinza sisi hapana tuna fight back shemeji.
 
Back
Top Bottom