GE2025 Zitto Kabwe: Polisi tendeni haki, mimi ndiye Rais ajaye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
“Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema

Zitto amesisitiza kuwa CCM haitadumu madarakani milele, akisema kuwa muda wake umekwisha, na kwamba mfumo wa kidemokrasia unaruhusu mabadiliko ya mamlaka kwa njia ya kura.

Akizungumza Julai 10, 2025 katika mkutano wa hadhara katika Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma,

Your browser is not able to display this video.
 
Labda raisi wa matapeli; snitch, mchawi, mdini
 
Ataanza kuwekwa lock up na kuwekewa kauzibe kwenye mikutano yake, naona amesifiwa kwa mbio kapitiliza mpaka kwao.
 
Ataanza kuwekwa lock up na kuwekewa kauzibe kwenye mikutano yake, naona amesifiwa kwa mbio kapitiliza mpaka kwao.
 
Awachane police waache ujinga wao..aishie hapohapo huko kwengine aniache mm Nina kura ya kumpa mtu tiki ya Urais na kwasasa sijaamua😋, nasubiria reforms😄
 
Muislamu awezi kumiliki akili
 
Labda akashindane na Mwamedi kwenye urais wa Makolo, Madunduka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…