Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa