Zitto Kabwe kuhudhuria kikao cha UKAWA wakati huu ni udhaifu mkubwa

Nyangeta Marwa

Senior Member
Nov 10, 2014
136
59
Jana katika bunge mwenyekiti wa PAC ZITTO KABWE alisimama bungeni na kuongea kwa fahari kuwa alihudhuria kikao cha UKAWA usiku uliopita. Kwa nafasi ya Zitto kama mwenyekiti wa kamati ambayo hoja yake iko mezani inajadiliwa, halikuwa jambo la sawa kuhudhuria kikao cha UKAWA na kusuluhishana, hasa wakati huu.

Zitto angebaki kuonesha neutrality ya ufuasi wa vyama, kwani katika kupitisha mapendekezo ya kamati yake anahitaji uungwaji mkono wa wabunge wa vyama vyote vikiwemo visivyounda UKAWA.

Zitto hakupaswa kukubali kutafuta suluhu na UKAWA wakati huu ambapo kamati yake imepewa dhamana kubwa ya kulivusha taifa katika sakata hili bila ya upendeleo wala uonevu. Kukubali wito wa suluhu na UKAWA ni sawa na matumizi ya nafasi yake kwa maslahi binafsi ya kujijenga kisiasa. Hii ndiyo tafsiri ya rushwa, abuse of public office for the private gain.

Hata kama hakujua haya, hakukumbuka busara na akahudhuria kikao cha UKAWA , halikuwa jambo sahihi kulisema mbele ya bunge tukufu. Kufanya vile kuliashiria kuwa Zitto amechukua upande na anaitumia ESCROW kujijenga yeye binafsi na siasa yake. Anatumia nafasi yake kama mwenyekiti wa PAC kufuta makovu ya kufukuzwa CHADEMA, huku akidhihirisha kuwa yeye ni muhimu kwa uhai wa upinzani nchini.

Zitto amefanikiwa kuonesha kuwa yeye ni muhimu kwa UKAWA, lakini pia ametumia nafasi yake ya uenyekiti wa PAC vibaya. Jambo hilo liliingiza bunge katika kufanya maamuzi kwa ushabiki wa vyama badala ya busara.
 
Kibongo bongo bwana, hata asingehudhuria, tunajua ccm (ndani ya bunge ktk mjadala)wangekuwa kivyao kutetea yao, na ukawa wangekuwa na mtazamo wao!! Ingekuwa kiini macho tuu, ila haina faida yeyote yeye kuhudhuria au kutokuhudhuria. Simba na yanga hawapendani hata siku moja.
 
Jana katika bunge mwenyekiti wa PAC ZITTO KABWE alisimama bungeni na kuongea kwa fahari kuwa alihudhuria kikao cha UKAWA usiku uliopita. Kwa nafasi ya Zitto kama mwenyekiti wa kamati ambayo hoja yake iko mezani inajadiliwa, halikuwa jambo la sawa kuhudhuria kikao cha UKAWA na kusuluhishana, hasa wakati huu.

Zitto angebaki kuonesha neutrality ya ufuasi wa vyama, kwani katika kupitisha mapendekezo ya kamati yake anahitaji uungwaji mkono wa wabunge wa vyama vyote vikiwemo visivyounda UKAWA.

Zitto hakupaswa kukubali kutafuta suluhu na UKAWA wakati huu ambapo kamati yake imepewa dhamana kubwa ya kulivusha taifa katika sakata hili bila ya upendeleo wala uonevu. Kukubali wito wa suluhu na UKAWA ni sawa na matumizi ya nafasi yake kwa maslahi binafsi ya kujijenga kisiasa. Hii ndiyo tafsiri ya rushwa, abuse of public office for the private gain.

Hata kama hakujua haya, hakukumbuka busara na akahudhuria kikao cha UKAWA , halikuwa jambo sahihi kulisema mbele ya bunge tukufu. Kufanya vile kuliashiria kuwa Zitto amechukua upande na anaitumia ESCROW kujijenga yeye binafsi na siasa yake. Anatumia nafasi yake kama mwenyekiti wa PAC kufuta makovu ya kufukuzwa CHADEMA, huku akidhihirisha kuwa yeye ni muhimu kwa uhai wa upinzani nchini.

Zitto amefanikiwa kuonesha kuwa yeye ni muhimu kwa UKAWA, lakini pia ametumia nafasi yake ya uenyekiti wa PAC vibaya. Jambo hilo liliingiza bunge katika kufanya maamuzi kwa ushabiki wa vyama badala ya busara.

Ulitaka aende vikao vya CCM? Ndio mjue system yenu ina fail.
 
Mbona FURIKUNJOMBE na wajumbe wengine wa upande wa CCM wamehudhuria vikao vya CCM mara kadhaa huku mjadala ukiendelea kwa hili unatuambiaje? au huwa mnajisahau kwa kuwa tu akili zenu mmeshikiwa na maCCM.
 
Amefanya jambo la maana sana huu ni wakati wa kuungana ili kuiangusha serikali hii ya kifisadi.
Mbowe,Chadema naomba sana malizeni kama mbatia alivyomaliza na David(Tumbili)
 
Bila zitto chadema hawawezi kufanya kitu jambo wote mbugila tu.
 
Jana katika bunge mwenyekiti wa PAC ZITTO KABWE alisimama bungeni na kuongea kwa fahari kuwa alihudhuria kikao cha UKAWA usiku uliopita. Kwa nafasi ya Zitto kama mwenyekiti wa kamati ambayo hoja yake iko mezani inajadiliwa, halikuwa jambo la sawa kuhudhuria kikao cha UKAWA na kusuluhishana, hasa wakati huu.

Zitto angebaki kuonesha neutrality ya ufuasi wa vyama, kwani katika kupitisha mapendekezo ya kamati yake anahitaji uungwaji mkono wa wabunge wa vyama vyote vikiwemo visivyounda UKAWA.

Zitto hakupaswa kukubali kutafuta suluhu na UKAWA wakati huu ambapo kamati yake imepewa dhamana kubwa ya kulivusha taifa katika sakata hili bila ya upendeleo wala uonevu. Kukubali wito wa suluhu na UKAWA ni sawa na matumizi ya nafasi yake kwa maslahi binafsi ya kujijenga kisiasa. Hii ndiyo tafsiri ya rushwa, abuse of public office for the private gain.

Hata kama hakujua haya, hakukumbuka busara na akahudhuria kikao cha UKAWA , halikuwa jambo sahihi kulisema mbele ya bunge tukufu. Kufanya vile kuliashiria kuwa Zitto amechukua upande na anaitumia ESCROW kujijenga yeye binafsi na siasa yake. Anatumia nafasi yake kama mwenyekiti wa PAC kufuta makovu ya kufukuzwa CHADEMA, huku akidhihirisha kuwa yeye ni muhimu kwa uhai wa upinzani nchini.

Zitto amefanikiwa kuonesha kuwa yeye ni muhimu kwa UKAWA, lakini pia ametumia nafasi yake ya uenyekiti wa PAC vibaya. Jambo hilo liliingiza bunge katika kufanya maamuzi kwa ushabiki wa vyama badala ya busara.

Pole sana mkuu, kumbe kimekuuma mtoto kusamehewa makosa na baba yake siku ya msiba wa mama!..
 
Ama kweli mazumbukuku wapo wengi nchi hii,
Kwani hapo dhambi iko wapi mbona wajumbe wengine hata wenyeviti wanahudhuria makundi wanayoyaunga mkono isipokuwa wanapokuja kwenye suala linalohusu PAC wanakuwa pamoja.
Sasa hapo kuna tatizo gani kama si upotoshaji kwa upuuzi usio na maana
 
Kwani zito yuko bungeni kupitia chama gani, kumbuka wabunge wote walioko bungeni ni wanachama wa eidha ccm au wapinzani (ukawa) wacha utoto wewe, sasa kosa lake nini

Nakutunuku Tuzo Ya Mchangiaji Aliye changia kwa kutumia akili ya juu zaidi katika post hii...
tol;

Hongera Sana!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom