BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,329
Fedha za Marekani? Ni porojo tu.
Kila senti ambayo nchi inapata huingizwa kwenye kitabu hiki ambacho kila mbunge hupewa. Ni Revenue Book Vol 1.
Katika Bajeti ya mwaka huu hakuna hata senti ya kutoka Marekani. Rais na Balozi wa Marekani wamedanganyana tu au Wamarekani wataweka fedha zao kupitia makampuni Yao ya Kimarekani.
Bunge ndio lenye mamlaka ya juu kupitisha mapato na matumizi ya Serikali. Hizo hela za Marekani ambazo watu wanazishangilia ni HEWA. Ni POROJO.
By zitto kabwe facebook