Zitto Kabwe ashindwa kutokea mkutanoni

Great thinkers wangesubiri kusikia maelezo ya mh.Zitto kabla ya kumhukumu!!lakini watu wenye vichwa vya panzi wanajump into conclision. No reserch no data! No data no right to talk!! Acheni kutoa michango ya kidaku hapa JF,.
 
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.

Inawezekana mkutano haukuwa rasmi, au zitto alipata taarifa za kiintelijensia.
 

mwenyewe unawajua dada zako, wanakaba hadi penalt, nguo zote zinawekwa kwenye maji hata kama sio chafu. Unategemea nini hapo?
 
wawaulize nini tayari ilisha kula hiyo

ingekula kwao kama wangeletwa na malori kama mnavyowasomba nyie m.a.g.am.ba,lakini kwa vile walisogea hapo wenyewe bila kulazimishwa nina imani atakapofika watasogea tena siku nyingine.msalimie nape.
 
Magamba bwana! Hata hayajishangai! Yenyewe yanafikiria kama kijiko cha cha chai huwa hakifikiri kwamba kuna beleshi! Zito dume la mbegu hebu njoo hapa leta taarifa ili hawa walioliwa wake zao na mwigulu watulie.
 

Neugu yangu naweza kukuamini kwa maelezo hayo,lakini siyo Zito bali ni viongozi wanaoratibu msafara wake ambao kwa mawazo yangu wanaonekana hawajui kabisa kufanya systematic political analysis,halafu watabaki oh tanga ni CCM! Kumbe hawajui kuratibu mambo.yetu macho na asikio.
 
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
Hapo kwenye nyekundu inaonyesha jinsi akili yako ilivyo na hitilafu!
 
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
Hata bila vifaa vya kisayansi vya kukutolea damu au utra sound tayari ushaonekana akili yako ina kwashakoo
 
Zito ni mjanja, magamba na kafu wali ungana wakatega majini uwanjani ya kumwakwembe, baada ya kupata taarifa za kiintelijensia jamaa akasepa. Big up Zito hayo mapepo yatawadai ushuru wa damu waliyoyatuma-subiri mtasikia!
 
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.

Acha kuzusha mkuu kwani zitto hawezi kukosa kwa sababu ambayo iko nje ya uwezo wake? Mara ngapi JK ameahirisha vikao muhimu au mikutano muhimu kuliko hiyo ya Tanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…