Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

Hongera Zitto weka maslahi ya nchi yako mbele na wananchi maskini Mungu atakulinda.Endelea kufufuta ufisadi hapa
nchini.
 
Saliti Zitto siyo CDM. Analazimisha uchadema kupitia mahakama. Hao SADC wanajua Zitto ni saliti na ninajua serikali inayoongozwa na CCM ilimpendekeza.!?!!

Kwa nin wasimpendekeze nape au mwigulu....the coin has two face...fair play bro
 
Congrats comred ZZK..!! Hopes utatuwakilisha vyema huko..!! all the best..
 
Congrats comred ZZK..!! Hopes utatuwakilisha vyema huko..!! all the best..


Congrats!!ZITTO!Ingawa mimi si Chadema, lakini huyu bwana mdogo namfagilia sana. Wanasiasa wengi wanatakiwa kuwa na uelewa wake kwani ZZK,huwa anabase kwenye ISSUES za watz na FACTS na sio PERSONAL BEEFS ZISIZO NA MSINGI WOWOTE kutatua matatizo yetu. KEEP UP THE GOOD JOB,STICK TO THE TRUTH,THUS SHALL SET US FREE"!!!!! BIG UP BROTHER!!!!
 
kesho utasikia fulani anatembea na ..............halafu uta conclude hivyo

Mambo ya nani katembea na nani ni ya ndani ya mtu.Na sipo entertained nayo.Tuongee hoja za kujenga lakini za undani wa mtu,sina mpango nazo.Ukiongea ya watu kumbuka na watu hao hao watakuongelea.
 
hahaha BAVICHA wanawivu wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…