Acha Majungu, na wabunge wa nccr waliopigwa chini kawazika nani?
Hakika Zitto Kabwe ana akili
Si utani zzk ni political genius, nilimuona siku moja tu pale zhakem mbagala akimnadi mgombea wake wa urais na baada ya hapo akamtelekeza. Kumbuka kabla ya hapo aliivuruga cdm akitaka urais lakini baada ya kuwa na chama chake akaususa!
Kawashawishi wenzie lakini Kafulila akashtuka na waliomkubali wamemsaidia kurejesha ubunge wake na kupata halmashauri ya kuiongoza yeye mwenyewe huku wao wote wakipoteza.
Ni lazima uwe na akili nyingi kukamilisha mipango kama hii!
Hakika Ulaghai wa Zitto Kabwe dhidi ya Machali umemfanya kumpoteza mwenzake hakika ulaghai wa kua wabunge 50 watajiunga A.C.T na Machali akaamini matokeo yake yeye ndo kazikwa rasmi.
N.B Uwezo wa Zitto Kabwe anaweza Kugombea Sehemu yoyote Tanzania na akapata Ubunge na anapanga Kugombea Jimbo la Chalinze.
Zitto kawazika, huyu dogo anajulikana kaja kumaliza upinzani hata alivyokuwa CDM alikuwa anapigia chepuo wabunge wa CCM na sasa kila kwenye mbunge wa NCCR kaingiza ACT na wanaoshinda ni CCM.
Kama angekuwa makini angevimba wabunge wa ACT washinde.
Unatoa upinzani ili CCM ishinde, WTF.
Zitto ni full bright politician.... Mwenyekiti Wa PAC sasa atakavyowachana wale wazee Wa akaunti 200..mbona patanoga
Zitto Kabwe ni mkatili hata ukimwangalia usoni tu utajua ni mnyama katika roho yake. Iko wazi na ni mtumishi mzuri wa chama cha Majambazi.
...mazoba hawatakuelewa! yanakomaa tu zito jembe, zito jembe, but kashindwa hata kumpa machali support ashinde?!