Zitto Kabwe afutiwa Shitaka mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto Kabwe afutiwa Shitaka mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshume Kiyate, Apr 5, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoani Kigoma, imefuta kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mbunge Zitto Kabwe (Chadema) kutokana upande wa mashitaka kushindwa kuleta maelezo ya kutosha mahakamani hapo.
  Akiondoa shitaka hilo, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo. Emmanuel Mrangu alisema kesi hiyo imeahirishwa mara mbili kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kakamilisha vipengele muhimu ili kuhalalisha keshi hiyo. Katika kesi namba 10/ 2010 ilimtuhumu Zitto kutenda kosa la kumtoa mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi halali wa polisi katika kituo kidogo cha polisi, Mahembe kilichopo katika Wiliya ya Kigoma, na hivyo kuhatarisha amani kwa askari waliokuwepo siku hiyo kutokana na kundi la Wananchi kuambatana naye kituoni hapo.
  SOURCE: Mwananchi Aprili 5, 2011
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kwani kipi kingine kilitarajiwa? Zitto kufungwa?!
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Aaahh hiyo mbona order ndoogo sana...anamrishwa rpc nae anatekeleza haraka sana kwa ocd hakuna kwenda kupeleka ushahidi kwisha....ila ingekuwa G Lema aahh angekwenda na maji!!!
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  no suspense
   
 5. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera ndugu yangu Zitto, ushindi wako uwe tunu kwa CHADEMA, tunakupenda na tunakujali uwe mtetei wa kweli wa watanzania masikini na si kinyume chake
   
Loading...