Zitto Kabwe acharuka CCM ku-"salenda" siasa kwa vyombo vya dola

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
963
Reaction score
2,198
Siku za hivi karibuni watu wengi hasa wenye mlengo unaokinzani na serikali katika mambo mengi wametokea kumpuuza sana Zitto Kabwe

Yess, wana haki hiyo kwasababu ya alivyofahamika na alivyo kwa sasa

Hata hivyo, haimaanishi kwamba kila siku anaongea pumba!

Nimekutana na clip yake moja akiionya CCM na mwenyekiti wake kujenga mazingira ya kuvifanya vyombo vya dola kuanza kupambana na vyama vya upinzani badala ya CCM kupambana na vyama vya upinzani

Ukiangalia kwa siku za hivi karibuni utagundua anachoongea ni sahihi kabisa. Vyombo vya dola hasa polisi viko busy kujibishana na wanasiasa wa upinzani na wanaharakati kuliko CCM! Hii ni mbaya sana kwani mpaka wanafanya hivyo maana yake kuna namna wanakula na CCM na ipo siku watatamani wasiendelee kugawana na CCM badala yake wale peke yao hasa wakishagundua kuwa CCM hawawezi kujibu hoja za upinzani bila wao

Kwa mujibu wa Mwami Ruyagwa, wakishanogewa wataanza kushughulika na CCM

Hii ndo ile watu husema kuna wakati saa mbovu inasema ukweli
 
Hili mbona ni la siku nyingi na watu wengi wamelisema sana na ndilo lilifanya waje na kauli ya reform kabla ya uchaguzi? Yeye si alisema watalinda kura?
 
Serikali ya CCM imfanyie namna,jamaa anawasaidoaga sana kuonyesha kuna upinzani,ilhali hakuna.
Wasikiuke makubaliano.
 
wangekuwa na akili wangempeleka bungeni kuliko walichomfanyia sasa anahangaika na mahakama
 
Serikali ya CCM imfanyie namna,jamaa anawasaidoaga sana kuonyesha kuna upinzani,ilhali hakuna.
Wasikiuke makubaliano.
ROMA na STAMINA wana wimbo wao unaitwa "Abdul". Kuna mstari mmoja unasema " Kichaa hachekeshi akitoka kwako, utajikuta unalinda komwe unaacha tako".! Mwisho wa kunukuu.
 
Back
Top Bottom