Zitto kabla ya Boeing tujibu kwanza haya ya CAG na ACT

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
879
969
Kiongozi Mkuu au kwa lugha ya Kifarsi inayozungumzwa kule Iran "Ayatollah" wa Chama cha ACT, Zitto Kabwe baada ya kitambo cha kukosa ajenda kaibuka tena!!

Safari hii kaja na hoja nyingine muflisi; anahoji uimara wa ndege za Boeing ambazo Rais Magufuli ndio kwanza kaagiza na iko kiwandani inatengenezwa.

Huyu Bwana na wenzake wamefilisika vya kutosha na sasa wanarukia kila Rais anachotekeleza na kujaribu kutafuta kasoro za kulazimisha.

Wakati zinakuja Bombardier alidai si mpya na hazina usalama hoja yake ilipofilisika mara tukamuona kaipanda Bombardier kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma

Sasa baada ya ukimya hasa kufuatia ripoti ya CAG kukiumbua chama chake anataka kutuhamisha ktk agenda.Amekwama.

Amekwama kwa sababu bei na details zote za manunuzi ya ndege za Boeing wenyewe wanaweka update kila siku kwenye tovuti yao na sasa Serikali kupititia kwa Prof. Mbarawa imeshamjibu kuwa wakaguzi wetu wanakwenda kukagua kila hatua ya utengenezaji wake na hakuna blah blah

Hilo kahoji kapata jibu la papo kwa papo-tunamwomba sasa Zitto atupe jibu la papo kwa papo kwa hoja zetu maana alikuwa kimya.

Anakuwaje kimya au kuhoji usalama wa Boeing ambayo ndio kwanza inaundwa kiwandani katika wakati ambapo chama chake kina kashfa kubwa ya kikaguzi.

Ripoti ya CAG inaonesha kuwa ACT ilikusanya kiasi cha TZS milioni 498.7 za wanachama lakini katika vitabu zikawekwa milioni 410 tu

CAG amehoji ziko wapi kiasi cha TZS milioni 88.43???‍♂Ayatollah yuko kimya leo anajifanya kujua ya Bieing.Hii asubiri kuipanda tu!

ACT pia imevurunda katika mambo mengine basic ya kiuchumi na kihasibu huku Ayatollah mara kadhaa akijinasibu yeye ni mbobezi wa uchumi.

Mfano kinyume na kifungu cha 14(10)(a) cha Sheria ya Vyama vya Siasa chama chake kimeshindwa kuweka kumbukumbu ya vitabu vya stakabadhi, leja na kukosekana daftari la mali za kudumu.

Pamoja na madudu mengine pia CAG amebaini uongozi chini ya Ayatollah umekutwa na masurufu yasiyorejeshwa yenye thamani ya TZS milioni 210.23

Hamjashika dola tu mshakubuhu hivi salalee halafu unahoji ya Boeing

Tunasubiri majibu ya mamilioni haya yasiyoeleweka yaliko ndani ya ACT.
 
Vyema akaja kujibu. Mkuu, nilipita ofisini kwako kukusalimu lakini sikubahatika kukukuta. Nakusalimu sana
 
Yap.ndege ndio kwanza inatengenezwa angekuja Na hoja zakueleweka za kitalaamu MF.Kampuni / Kiwanda kinachotengeza ndege hiyo hakina Uzoefu Na hiyo ndio ndege yao yakwanza, au kiwanda kinauzoefu ILA material yaliyotumika hayana ubola Na aje Na hoja yakufananisha Na ndege nyingine iliyotumia material Hayo Na haijafanya vzuri , nk kama hana hoja kama hizo nibila akafuta kauli kwamba amenukuliwa vbaya LA atakuwa anajishushia heshima aliyoijenga kwa Muda mlefu.
 
Accidents and notable incidents

Japan Airlines 787 Dreamliner at Boston Logan Airport with lithium-ion battery fire and resulting heavy smoke coming out a cargo hold

Three 787s of All Nippon Airways sit grounded at Tokyo Haneda International Airport in late January 2013.
The Boeing 787 has been involved in 1 aviation incident. In December 2012, Boeing CEO James McNerney stated that the problems were no greater than those experienced with the introduction of other models such as the Boeing 777.

Operational problems
A Japan Airlines (JAL) 787 experienced a fuel leak on January 8, 2013, and its flight from Boston was canceled. On January 9, United Airlines reported a problem in one of its six 787s with the wiring near the main batteries. After these incidents, the U.S. National Transportation Safety Board subsequently opened a safety probe. Later, on January 11, 2013, another aircraft was found to have a fuel leak.

Also on January 11, 2013, the FAA completed a comprehensive review of the 787's critical systems, including the design, manufacture and assembly; the Department of Transportation secretary Ray LaHood stated the administration was "looking for the root causes" behind the recent issues. The head of the FAA, Michael Huerta, said that so far nothing found "suggests [the 787] is not safe".

On January 13, 2013, a JAL 787 at Narita International Airport outside Tokyo was found to also have a fuel leak during an inspection, the third time a fuel leak had been reported within a week. The aircraft reportedly was the same one that had a fuel leak in Boston on January 8.[304] This leak was caused by a different valve; the causes of the leaks are unknown.[305] Japan's transport ministry has also launched an investigation.

On July 12, 2013, a fire started on an empty Ethiopian Airlines 787 parked at Heathrow Airport before it was extinguished by the airport fire and rescue service. No injuries were reported. The fire caused extensive heat damage to the aircraft. The FAA and NTSB sent representatives to assist in the investigation. The initial investigation found no direct link with the aircraft's main batteries. Further investigations indicated that the fire was due to lithium-manganese dioxide batteries powering an emergency locator transmitter (ELT). The UK Air Accidents Investigation Branch (AAIB) issued a special bulletin on July 18, 2013 requesting the US FAA ensure that the locator is removed or disconnected in Boeing 787s, and to review the safety of lithium battery-powered ELT systems in other aircraft types. On August 19, 2015, the Associated Press reported that the fire was started by a short circuit, caused by crossed wires located under the battery. The Air Accidents Investigation Branch's investigators recommended that "the U.S. Federal Aviation Administration, together with similar bodies in Europe and Canada, should conduct a review of equipment powered by lithium metal batteries to ensure they have 'an acceptable level of circuit protection.'"

On July 26, 2013, ANA said it had found wiring damage on two 787 locator beacons. United Airlines also reported that it had found a pinched wire in one 787 locator beacon. On August 14, 2013, the media reported a fire extinguisher fault affecting three ANA airplanes, which caused the fire extinguishers to discharge into the opposite engine from the one requested.The fault was caused by a supplier assembly error.

On September 28, 2013, Norwegian Long Haul decided to take one of its two 787s in its fleet at the time out of service after the two aircraft broke down on more than six occasions in September. The company will lease an Airbus A340 for its long-haul operations while the 787 is returned to Boeing for repair.On December 20–22, 2013, Norwegian Long Haul experienced technical problems keeping two of its three 787 aircraft grounded at Fort Lauderdale airport and delayed six flights.

On November 22, 2013, Boeing issued an advisory to airlines using General Electric GEnx engines on 787 and 747-8 aircraft to avoid flying near high-level thunderstorms due to an increased risk of icing on the engines. The problem was caused by a buildup of ice crystals just behind the main fan, causing a brief loss of thrust on six occasions.

On January 21, 2014, a Norwegian Air Shuttle 787 experienced a fuel leak which caused a 19-hour delay to a flight from Bangkok to Oslo. Footage of the leak taken by passengers show fuel gushing out of the left wing of the aircraft. The leak became known to pilots only after it was pointed out by concerned passengers. It was found later that a faulty valve was responsible. This fuel leak is one of numerous problems experienced by Norwegian Air Shuttle's 787 fleet. Mike Fleming, Boeing's vice president for 787 support and services, subsequently met with executives of Norwegian Air Shuttle and expressed Boeing's commitment to improving the 787's dispatch reliability, "we’re not satisfied with where the airplane is today, flying at a fleet average of 98 percent... The 777 today flies at 99.4 percent ... and that's the benchmark that the 787 needs to attain”.

On September 24, 2015, Indian media reported that an Air India 787 Dreamliner (VT-AND) had been grounded since January 2015 and had been scavenged for parts due to their lack of availability. Air India's aircraft engineers' body advised against accepting further deliveries until Boeing resolved reliability issues. India's Minister of State for Civil Aviation Mahesh Sharma stated the reliability issues to India's Parliament.

On March 4, 2016, Ethiopian Airlines 787-8 registration ET-ASH performing Flight ET-702 from Addis Ababa, Ethiopia to Rome Fiumicino, Italy, had its nose gear collapse before flight was ready to depart. A flight attendant received minor injuries and the aircraft was damaged.

Later in March 2016 the FAA accelerated the release of an airworthiness directive in response to reports indicating that in certain weather conditions "erroneous low airspeed may be displayed ..." There was concern "abrupt pilot control inputs in this condition could exceed the structural capability of the airplane." Pilots were told not to apply "large, abrupt control column inputs" in the event of an "unrealistic" drop in displayed airspeed.

On April 22, 2016, the FAA issued an airworthiness directive following a January 29 incident in which a General Electric GEnx-1B PIP2 engine suffered damage and non-restartable power loss while flying at an altitude of 20,000 feet. The damage is thought to have been caused by a fan imbalance resulting from fan ice shedding.

Battery problems
Main article: Boeing 787 Dreamliner battery problems

The Aft Electronics Bay that held the JAL 787 battery that caught fire

Japan Airlines 787 battery comparison; Left: typical original battery. Right: damaged battery.
On January 16, 2013, All Nippon Airways Flight NH-692, en route from Yamaguchi Ube Airport to Tokyo Haneda, had a battery problem warning followed by a burning smell while climbing from Ube about 35 nautical miles (65 km) west of Takamatsu, Japan. The aircraft diverted to Takamatsu and was evacuated via the slides; three passengers received minor injuries during the evacuation. Inspection revealed a battery fire. A similar incident in a parked Japan Airlines 787 at Boston's Logan International Airport within the same week led the Federal Aviation Administration to ground all 787s. On January 16, 2013, both major Japanese airlines ANA and JAL voluntarily grounded their fleets of 787s after multiple incidents involving different 787s, including emergency landings. At the time, these two carriers operated 24 of the 50 787s delivered. The grounding reportedly cost ANA some 9 billion yen (US$93 million) in lost sales.

On January 16, 2013, the FAA issued an emergency airworthiness directive ordering all American-based airlines to ground their Boeing 787s until yet-to-be-determined modifications were made to the electrical system to reduce the risk of the battery overheating or catching fire. This was the first time that the FAA had grounded an airliner type since 1979. Industry experts disagreed on consequences of the grounding: Airbus was confident that Boeing would resolve the issue and that no airlines will switch plane type, while other experts saw the problem as "costly" and "could take upwards of a year".

The FAA also conducted an extensive review of the 787's critical systems. The focus of the review was on the safety of the lithium-ion batteries made of lithium cobalt oxide (LiCoO2). The 787 battery contract was signed in 2005, when this was the only type of lithium aerospace battery available, but since then newer and safer types (such as LiFePO), which provide less reaction energy during thermal runaway, have become available. FAA approved a 787 battery in 2007 with nine "special conditions". A battery approved by FAA (through Mobile Power Solutions) was made by Rose Electronics using Kokam cells; the batteries installed in the 787 are made by Yuasa.

On January 20, the NTSB declared that overvoltage was not the cause of the Boston incident, as voltage did not exceed the battery limit of 32 V, and the charging unit passed tests. The battery had signs of short circuiting and thermal runaway. Despite this, by January 24, the NTSB had not yet pinpointed the cause of the Boston fire; the FAA would not allow U.S.-based 787s to fly again until the problem was found and corrected. In a press briefing that day, NTSB Chairwoman Deborah Hersman said that the NTSB had found evidence of failure of multiple safety systems designed to prevent these battery problems, and stated that fire must never happen on an airplane.

The Japan Transport Safety Board (JTSB) has said on January 23 that the battery in ANA jets in Japan reached a maximum voltage of 31 V (below the 32 V limit like the Boston JAL 787), but had a sudden unexplained voltage drop to near zero. All cells had signs of thermal damage prior to runaway. ANA and JAL had replaced several 787 batteries before the mishaps. As of January 29, 2013, JTSB approved the Yuasa factory quality control while the NTSB examined the Boston battery for defects. The failure rate, with two major battery thermal runaway events in 100,000 flight hours, was much higher than the rate of one in 10 million flight hours predicted by Boeing.

The only American airline that operated the Dreamliner at the time was United Airlines, which had six. Chile's Directorate General of Civil Aviation (DGAC) grounded LAN Airlines' three 787s. The Indian Directorate General of Civil Aviation (DGCA) directed Air India to ground its six Dreamliners. The Japanese Transport Ministry made the ANA and JAL groundings official and indefinite following the FAA announcement. The European Aviation Safety Agency also followed the FAA's advice and grounded the only two European 787s operated by LOT Polish Airlines. Qatar Airways grounded their five Dreamliners. Ethiopian Airlines was the final operator to temporarily ground its four Dreamliners. By January 17, 2013, all 50 of the aircraft delivered to date had been grounded. On January 18, Boeing halted 787 deliveries until the battery problem was resolved.

On February 7, 2013, the FAA gave approval for Boeing to conduct 787 test flights to gather additional data. In February 2013, FAA oversight of the 787's 2007 safety approval and certification was under scrutiny. On March 7, 2013, the NTSB released an interim factual report about the Boston battery fire on January 7, 2013. The investigation stated that "heavy smoke and fire coming from the front of the APU battery case." Firefighters "tried fire extinguishing, but smoke and flame (flame size about 3 inches) did not stop".

Boeing completed its final tests on a revised battery design on April 5, 2013. The FAA approved Boeing's revised battery design with three additional, overlapping protection methods on April 19, 2013. The FAA published a directive on April 25 to provide instructions for retrofitting battery hardware before the 787s could return to flight. The repairs were expected to be completed in weeks. Following the FAA approval in the U.S., Japan gave permission for passenger airlines to resume Boeing 787 flights in the country effective April 26, 2013. On April 27, 2013, Ethiopian Airlines took a 787 on the model's first commercial flight after battery system modifications.

On January 14, 2014, a battery in a JAL 787 emitted smoke from the battery's protection exhaust while the aircraft was undergoing pre-flight maintenance. The battery partially melted in the incident; one of its eight lithium-ion cells had its relief port vent and fluid sprayed inside the battery's container. It was later reported that the battery may have reached a temperature as high as 1,220 °F (660 °C), and that Boeing did not understand the root cause of the failure.

The NTSB has criticized FAA, Boeing and the battery manufacturer for the faults; it also criticized the flight data recorder.
 
Wanasiasa wa kibongo wanajua sana kuutumia ule msemo wa "ukila na kipofu usimshike mkono". Zitto Kabwe nilikuwa namheshimu siku za nyuma, lakini nimekuja kuyaona maandishi yake mengi yakiwa na chembe chembe za unafiki.

TCAA na ATCL kwa sasa zipo chini ya wataalam wazalendo ambao mara kadhaa wameshafuatwa na wenye fedha ili mipango yao ya upigaji iweze kufanikiwa, sasa sioni ajabu kama mheshimiwa huyu akawa ni sehemu ndogo tu ya network ambayo imezibiwa mianya kwenye sekta ya anga.
 
Mi naona kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake,lakin mbona wanatupa kasoro tu kila mara ila hawasem uzur wa chochote? Haya lets say hzo ndege ni mbovu haya nzur ni zip??mbona ktk maandiko yao hawasemag solution zaid ya kusema tu hazifai hazifai??

Zito chama kilikua na miez mitano na ulifanya kampen nchi nzima na kote ulisimamisha wagombea tuambie ulipata wap hela? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom