Hujawasikia wakisema escrow zimechotwa billion 321?
Taarifa ya CAG inaonesha fedha zilizolipwa ni billion 182 tu. kama si uongo huo ni nini?
Hukuwasikia waliposema kuwa kuna wizi umefanyika? Taarifa ya CAG haikuonesha wizi wowote ule, kama si kudanganya ni nini huko?
Jaribu kuwa mkweli wa nafsi yako kwanza.
Kula uliwe - Jakaya Mrisho Kikwete
Kuliwa ni haki yangu ya msingi, vipi na wewe unaliwa?
Shabani Gurumo Ndugu wa damu na KIKWETE mfanyakazi Ikulu amepokea shs800mHebu fanya adabu. ID yako haikuruhusu kuongea mambo ya kijinga.
Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
kwa hiyo CAG naye kadanganya? Je nao ule mgao uliofanywa na mafisadi papa ukiongozwa na chenge pale mkombozi benki ni uwongo? Duh..Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
Neno 'usiogope' katika Biblia takatifu limerejewa mara 365. Mungu anakutaka wewe Zitto, Filikunjombe, Bulaya, Lissu, Kafulila na Kigwangala na Mpina MSIOGOPE katika kupigania haki za wanyonge na tena MSICHOKE maana uhuru wa kweli umekaribia. Zitto kesho unaenda kuhitimisha mjadala wa Escrow, DUA za watanzania wanyonge, bodaboda, mamantilie, wapigadebe,vinyozi, machinga nk ziko mbele yako USIOGOPE!! Simamia KWELI nchi irudi kwenye mstari, tunaamini Zitto wa ESCROW ndiyo yuleyule Zitto wa Buzwagi.
acha viroba wewe
kwa hiyo CAG naye kadanganya? Je nao ule mgao uliofanywa na mafisadi papa ukiongozwa na chenge pale mkombozi benki ni uwongo? Duh..
Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
Hakuna lolote wamedanganya hao na hoja zao hazina mshiko, zimepanguliwa zote.
Slaa siyo mwanachama wa Ccm kwa mujibu wa sheria, bali anamiliki kadi ya CCM kama kumbukumbu ya mtanzania pekee aliyewahi kuwa PADRE wa Katoliki na wakati huohuo akiwa ni KATIBU wa CCM tawi la ROME mnamo 1980 hadi 1982 kazi hiyo sasa inafanywa na schoolmate wake MoFA!! anyway ni kweli kuwa ccm siyo dhambi.Hapa, fatilia post zangu.Kuwa CCM ni kosa? mbona Slaa mpaka leo ni mwanachama wa CCM?