tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema mkoa wa kigoma umekuwa nyuma katika shuguli za maendeleo na hata kutetewa kwa wananchi wa mkoa huo kutokana na kukosa viongozi sahihi wa kuongoza mkoa huo.
Kauli hiyo ameitoa, Oktoba 13, 2025 wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma alipokuwa akinadi mgombea ubunge wa chama hicho katika jimbo hilo, Julius Masabo
"kote huko nilikopita wanasema wanachagua wabunge wa ACT Wazalendo hawataki wabunge wa CCM...huu uchaguzi ni kupeleka vijana wa Kigoma mahiri ambao watasimama na kuitetea Kigoma kuzungumzia haki zenu" amesema Zitto.
Soma pia: Watu wa Kigoma niwaelewa sidhani kama watachagua huyu comedian wa CCM na kumuacha Zitto Kabwe