nina shaka na hii khabari, lakini kama ni ya kweli bac, naona sasa Zitto ndo anaelekea kwenye mwisho wake ndani ya Chadema,
lakini kwa mtazamo wangu nahisi kuna siri kubwa sana kati ya Zitto na Chadema, kuna fukuto linaloonekana la kumchoka Zitto ndani ya Chadema, na sababu ni kwa Zitto kuanza kulipa Fadhira kwa RA at el, nasema hivyo kwa sababu Tanzania Daima ni Gazeti la Mwenye Chadema, sasa iweje Kila kukicha linamponda Zitto tu.