BULLDOZZER
Senior Member
- Jan 18, 2011
- 103
- 0
taifa hili ilnaongozwa na majini kama hamkuwa mnajua-wewe angalia nchi ambayo viongozi wake wa ngazi ya juu wanakiri hadharani kukubali kulindwa na majini badala ya mungu; ndiyo maana laana juu ya taifa hili ni nzito sana kwa sababu ya makafara mengi sana ambayo viongozi wake wa juu wanatoa kila kukicha-makafara ni pamoja na damu za watanzania kwa maelfu yao kama vile mv bukoba, treni dodoma, hiyo ya jana kwa first lady accident!!!!!!!!!!!!!!!!!laana ikangukia taifa ndiyo utaona haya tunayoona kwamba hata viongozi usiowadhani wanaheuka kuwa hivi muonavyo. Sasa hivi sisiemu imeamua kucheza rafu kila jambo lakini kwa lugha laini ya utawala wa sheria !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!kwa sababu wanaongozw na shetani baba wa uongo!!!!!!!!!!!!!!!
Spika alishaanza kumkoromea, lakini cha kushangaza baada ya Zitto kuongea, mama akaanza kumfagilia. This mama is very short tempered.Nimemsoma mwanzo mwisho na spika amekubaliana nae. Taratibu watashikishwa adabu ndani ya mjengo.
Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zito amemweleza Spika awasisitizie mawaziri wapungeze salamu na kuitana dada, mke wangu kaka yangu na pia waeleze maslahi binafsi kwenye mambo wanayo changia kama yapo........ Hebu tuone Spika ata fanyaje
JE kuna tofauti kati ya JINI na Shetani? au vyote ni kitu kimoja?Ninavyofahamu mimi kuna tofauti kubwa sana kati ya jini na shetani,na kitu cha msingi ni kuwa JINI hawezi kufugwa na binadamu hii ni kutokana na ukweli kwamba jini ameumbwa kwa moto na ana sifa zote za moto unazozijua ikiwa ni pamoja na uwezo wa kubadilikabadilika sura kama uuonavyo moto mara mwekundu,njano blue nakadhalika.Vilevile unapaswa kuelewa kwamba binadamu ameumbwa kwa UDONGO na ndio sababu utaona maisha yake kwa sehemu kubwa yanategemea udongo ili aweze kuishi,yaani namaanisha chakula,nguo na malazi hivi vyote vinategemea uwepo wa udongo.Wamevamiwa na kutekwa akili na majini ya sheikh ambayo sisiemu wameridhia kwamba yamlinde jk, chama chake na serikali yake!!!!!!! Majini hufanya watu kuwa mazezeta na mazuzu ili kuwatawala yatakavyo!!!!!!!!! Wabunge wa sisiemu wewe waangalie kwenye hoja nyeti kwa uhai wa taifa hili-utashangaa wanatetea ufisadi mradi tu CDM wanapinga jambo hilo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UUUUUUUUUUUUUwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi hata ile issue ya kutambulisha wageni ni ya Lazima???, au kutoa matangazo ?, kwani hawawezi kutoa matangazo kwenye Notice Board..., This total wastage of Tax Payers Money....
Huyu Nyalandu si ndiye alisema watanzania wengi wanatumia Simu kwa mawasiliona ya mambo ya mapenzi? Sasa yeye anatumia nafasi ya kujibu swali bungeni kutuma salama za mapenzi kwa mke wake. Ana matatizo huyu
Huko kuuana nje nje, hakuna mambo ya kishenzishenzi kama ya bunge letu!Tuige bunge la somalia