Hoja iendelee kwa sababu mbona Maghembe na Mkuchika wameendelea kupeta wizarani?. Na vipi kuhusu hatua za kisheria dhidi ya hawa wezi!Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alisema mabadiliko hayo ya baraza la mawaziri hayatoi uhalali wa wao kutoa hoja yao ya kutaka waziri mkuu awajibike, bali uamuzi wa pamoja wa wabunge waliotia saini kutaka kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ndiyo utakaofuatwa.
Alisema kutokana na mabadiliko hayo Bunge limekuwa imara na limeonyesha dhamira ya kweli ya kuisimamia serikali kwa ajili ya maslahi ya wananchi na kwamba sasa taarifa ya CAG itakuwa inathaminiwa kwa kiwango kikubwa.
"Ile dharau inayoonyeshwa na mawaziri katika ripoti mbali mbali juu ya wizara zao sasa tunaamini haitakuwepo na wataheshimu maamuzi ya kamati mbali mbali pamoja na taarifa ya CAG," alisema Zitto.
Aliongeza kuwa hatua hiyo ni kuelekea kujenga Bunge imara la kuweza kuwawajibisha watendaji wanaokiuka maadili na kushindwa kulinda mali ya umma.
Filikunjombe aunga mkono
Naye Mbunge wa Ludewa, Deo Fillikunjombe, ambaye katika Bunge lililopita alikuwa miongoni mwa vinara waliotaka mawaziri wawajibishwe kwa maslahi ya taifa alisema hatua hiyo ni nuru njema kwa Watanzania.
Alirejea kauli yake kuwa maamuzi hayo ya kubadilishwa mawaziri ni kutokana na nguvu ya Bunge na kwamba wao walisimamia maslahi ya wananchi.
Alisema ilikuwa ni kawaida kwa serikali kutofanyia kazi maazimio mbalimbali yanayotolewa bungeni na kwamba huo ni mwanzo wa kuhakikisha serikali inatambua kuwa Bunge lipo.
CHANZO: Tanzania Daima
Hoja iendelee kwa sababu mbona Maghembe na Mkuchika wameendelea kupeta wizarani?. Na vipi kuhusu hatua za kisheria dhidi ya hawa wezi!
maghembe. chiza, mwannri,, mkuchika wote niwatuhumiwa!!!anyway unajua jk ameshazoea kutuona sote ni wajinga au watoto! slaa alituonya kumchagua ni janga hatukusikia kwani utawala wake umejaa skendo tuu hakuna tija wala
maendeleo
Ficha upumbavu wako ukanda upi? ukabila gani? udini upi? acha kufikiri kijingajinga yaani badala ya kujenga hoja we unaanza kukashifu watu! what a shame? Tunarudishwa nyuma na watu wasiofikiria sawasawa.Je hujui ubadhilifu unahitaji kufuatiliwa ili wabadhilifu warudishe mali zetu na wahukumiwe kwa makosa yao? Je haudhani kwamba tukipunguza ufisadi kama sio kuuondoa kabisa tutapiga hatua kubwa ya kimaendeleo? Think big buddy!!!!zitto nae ni fisadi tuhatuambie hiii brand new range rover sport anayotamba nayo huku tabata kaipataje pataje hali ya kua yeye ni mbunge tuh?Familia yake maskin haina hata historia ya kumilimiki bajaji,leo kwa kazi ya kuwawakilisha wananchi wa kigoma kusini tuh hana biashara hana historia ya pesa kaipata pata vip luxury n expensive car kama hili?Tanzanians we r smarter than thattutairekebisha ccm ibadilike,waingie watu safi wachafu waondoke kuliko kuwapa watu wa siasa za maji machafu nchii hii waiharibu,watu wa ukanda,watu wa ukabila,watu wa udinikatu kamwe hatuwez thubutu..!
Your thinking is too low and pathetic.zitto nae ni fisadi tuh
atuambie hiii brand new range rover sport anayotamba nayo huku tabata kaipataje pataje hali ya kua yeye ni mbunge tuh?
Familia yake maskin haina hata historia ya kumilimiki bajaji,leo kwa kazi ya kuwawakilisha wananchi wa kigoma kusini tuh hana biashara hana historia ya pesa kaipata pata vip luxury n expensive car kama hili?
Tanzanians we r smarter than that
tutairekebisha ccm ibadilike,waingie watu safi wachafu waondoke kuliko kuwapa watu wa siasa za maji machafu nchii hii waiharibu,watu wa ukanda,watu wa ukabila,watu wa udini
katu kamwe hatuwez thubutu..!
Hivi Wana JF,
Kwa yaliyotekea kwa mawaziri wetu,lugha sahihi ya kutumiwa ni kuwa walifukuzwa uwaziri au wamejiuzulu?
Manake waligoma kujiuzulu mpaka JK alipotangaza wapya.Sasa tusija kesho kusikia mawaziri waliojiuzulu!
JK kaishiwa watu, mkitaka wavunje tena baraza la mawaziri itabidi achague wabunge wapya ili awape tena uwaziri.... Tumuache sasa atulie manake atakonda kwa pressure!!
Mkuu hao jamaa wamefukuzwa, JK banaaa! Mwanzo aliwaambia huo ni upepo tu utapita kumbe alikuwa anawalia timing wasijiuzulu na sasa amewafukuza!! Aibu... Hawa mawaziri wangesoma alama za nyakati na kujiuzulu kuliko kusubiri kufukizwaHivi Wana JF,
Kwa yaliyotekea kwa mawaziri wetu,lugha sahihi ya kutumiwa ni kuwa walifukuzwa uwaziri au wamejiuzulu?
Manake waligoma kujiuzulu mpaka JK alipotangaza wapya.Sasa tusija kesho kusikia mawaziri waliojiuzulu!
Your thinking is too low and pathetic.