Ben,
Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.
Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.
Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.
Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me
Ben
Andiko lako utadhani ulikuwa umekabidhiwa mikoba na marehemu sheikh yahya! Hakika yametia na utabiri unaongea.
acha unafiki bwanamdogo, jadili contents.Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me
Unao ushahidi wa hiyo rushwa? Kama huna ushahidi, je itakuwa vibaya tukikuita mnafiki, muongo, mzabizabina, nuksi, mmbea n.k??