watu wapo to proactive, unakumbuka ujanja wa hivi ulitumika kuonyesha madudu wozara ya mambo ya ndani ktk salaka lile la vitambulisho vya taifa. Lilitolewa hadharani na Dr slaa, Likamuumbua waziri Masha. Hope Zito anataka kutumia the same style. Hope full.