Judy wa Kishua kumbe kupigania maslahi ya Taifa ni kupenda sifa, haikosi waweza kuwa kiongozi au mtoto wa kiongozi au kimada wa kiongozi au kwa namna moja ama nyingine una faidi matunda ya uozo. Hovyo sana, wote wenye mtazamo kama wewe wanastahili kufungwa jiwe la kusagia na kutupwa baharini.