uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema
"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"
Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika
Ni mbaya wa sura mpaka roho
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Kwa maelezo ya Zitto ni kwamba tayari kamati yake walishawasilisha taarifa kwa ofice ya Speaker lakini cha kusikitisha Speaker anamtaka Zitto awasilishe tena (re-submit) taarifa hizo kwa speaker! Hapa napata wasiwasi kama kweli Speaker ana uwezo wa kuongoza bunge maana anaonekana kutofanyia kazi taarifa anazopewa na kamati za bunge!
Hilo walilijua wanaume ndo maana hawakumwoa
Mh Zitto leo, hivi punde, alitoa taarifa kwa Spika kuwa maelezo ya Waziri na Naibu Waziri wa Nishati na Madini kuhusu sakata la Mgodi wa Kiwira ni ya uongo mtupu na akafafanua jinsi Ufisadi wa kusikitisha ulivyofanyika, Spika akadai kuwa taarifa hiyo iletwe kwake kwa maandishi ili Serikali iweze kujibu, cha kushangaza Zitto akamjulisha Spika kuwa taarifa hiyo ipo kwake Spika kwa maandishi labda apelekewe upya, nae Spika Anna Makinda bila kusita akajibu "ndiyo ilete upya!" Sasa wanajamvi wenzangu sijui mumemuelewaje Spika anavyofanya jazi yake! Ina maana hasomi taarifa sensitive kama hizo au anapuuza kwa vile zimeongozwa na wapinzani au anawalinda mafisadi kwa makusudi?
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
na wewe ulete taarifa yako kwa maandishi hapa ima tutahisi una misifa zaidi ya zito ***********uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.