Na kwwli waachie Maandamano ili waone maajabu...ningeandamana hata na mtoto wangu wa miaka mitanowaruhusu maandamo ili wajue kuwa KAMONGO hana Market.
kweli wametuweza mkuuTwaweza wanatuweza kweli kweli hahahahahaaah Petro E. Mselewa
Ni kweri kabisa kumpa mkuu wa kaya 96% ya kukubarika ni uongo usio na shaka hata kidogo kwani kila unapopita watu humsema mkuu kwa ubaya tena ni ktk kila idara waislamu wanamlalamikia mkuu kuwa ni mdini mno wapo wanaosema kuwa mkuu ni mtu anaeangalia sana watu wa kanda ya ziwa wapo wanaosema kuwa mpenda makuu na mfano wa hayo mimi nasema lau kama zitto ingekua simkabari ningesema hata hiyo 45% amempendelea ila kwa kuwa nina imani na zitto nakuliana na % alizompa
Hakika wakiruhusu maandamano wachache sana watashiriki maana watu wanamkubali sana Magufuliwaruhusu maandamo ili wajue kuwa KAMONGO hana Market.
Respondents wa TWAWEZA si ni wale ambao wako listed na TWAWEZA na WALISHAWAWEZESHA kwa kuwanunulia SIMU na POWER BANKS? Nahisi hata hela ya vifurushi vya kuongea na data huwa wanawanunulia. Na ikitokea wanataka kusikika wanawapigia simu kuwauliza maswali wanayotaka. Sasa mtu 'unayemhudumia' kila wakati si ataongea yale anayodhani WEWE MHUDUMIAJI unapenda kusikia? Sampling yao si random kwa sababu wana idadi ya watu fulani (labda 2000) ambao wako fixed, na walishawawezesha na kila mara wanasample humo humo.Ni dhahiri mwanasiasa huyu machahari hapa Tz na msomi kijana amekosoa huu Utafiti kwa hoja
1. Eti mitandao ya kijamii 1% na TV 4% radio 64% wakati tunajua mitandao ya kijamii ndio inaongaoza kuzungumzia siasa na hata kumkosoa Mkuu wa kaya.
2. Eti mkuu anakubalika kwa 96%, huo Utafiti utakuwa ulifanyikia kule kwenye sangara na watu wasiofanya kazi yoyote maana mtu anayefanya kazi yoyote ameshaparuriwa. Ukweli ni kuwa huyu mkuu 45% zinamtosha warudie tena huo Utafiti.
Maisha ni magumu jamani kwa sababu za matamko yake.....!!!!