Zitto akosoa "mbunge" wake kutemwa na JPM

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe aliiambia Mwananchi jana kuwa ameshangazwa na kitendo cha Raisi kutengua uteuzi wa Hadija Usanga, akisema amefanywa hivyo kwa sababu za itikadi za kisiasa.

Chanzo: Mwananchi.

Zitto kama unadhani Usanga ana uwezo mkubwa, mpe nafasi ndani ya chama chako.
 
Back
Top Bottom