ZITTO akicheza huko Dubai

Wananchi wa DUBAI wakifuatilia HOTUBA ya Kinana, mmoja ya walioahidi na kusimamia KICHAMA hadi serikali ikatekeleza ahadi ya kuifanya Kigoma kuwa Dubai ya Tanzania. Ni furaha kuwa Dubai yetu, Mvua inanyesha.

 
Hawa wamepewa adhabu au ni swaga gani tena za magamba? Ufafanuzi tafadhari.

Wananchi wa DUBAI wakifuatilia HOTUBA ya Kinana, mmoja ya walioahidi na kusimamia KICHAMA hadi serikali ikatekeleza ahadi ya kuifanya Kigoma kuwa Dubai ya Tanzania. Ni furaha kuwa Dubai yetu, Mvua inanyesha.

 
Wananchi wa DUBAI wakifuatilia HOTUBA ya Kinana, mmoja ya walioahidi na kusimamia KICHAMA hadi serikali ikatekeleza ahadi ya kuifanya Kigoma kuwa Dubai ya Tanzania. Ni furaha kuwa Dubai yetu, Mvua inanyesha.


Kaka kitambo sikuoni?
 
Wananchi wa DUBAI wakifuatilia HOTUBA ya Kinana, mmoja ya walioahidi na kusimamia KICHAMA hadi serikali ikatekeleza ahadi ya kuifanya Kigoma kuwa Dubai ya Tanzania. Ni furaha kuwa Dubai yetu, Mvua inanyesha.


Hawa vipi tena, viti badala ya kuvikalia vyenyewe ndio vimewakalia😎

Ama kweli huko ni Dubai!
 
naskia miaka ya mwanzoni ya 1970 zanzibar ilikuwa mji mkubwa kuliko DUBAI
 
Hahaaaa ngoja niwe na staha maana nina bahato mbaya sana ya kulimwa ban niki coment mambo ya ayatooolaaaahhh
 
bavicha kwa vijembe vya kianamke anamke wako vizuri sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…