jino kwa jino JF-Expert Member Nov 3, 2010 785 170 Oct 28, 2011 #483 nimesikia RFA kesho anapelekwa india kwa Prof Mwandosya
ngoshwe JF-Expert Member Mar 31, 2009 4,131 931 Nov 1, 2011 #484 kwa mujibu wa Balozi wa Tanzania - India Bw. Kijazi, hali ya Mhe. Zitto, Mwakyembe, Mwandosya na Mhe. Chami zinaendelea kuimarika (ila bado matibabu yanaendelea) Source: TBC 1 Habari ya saambili usiku 01.11.2011
kwa mujibu wa Balozi wa Tanzania - India Bw. Kijazi, hali ya Mhe. Zitto, Mwakyembe, Mwandosya na Mhe. Chami zinaendelea kuimarika (ila bado matibabu yanaendelea) Source: TBC 1 Habari ya saambili usiku 01.11.2011
Wed JF-Expert Member Mar 7, 2011 315 266 Nov 1, 2011 Thread starter #485 Tuendelee kuwaombea hawa wapiganaji wapone mapema ili ukombozi wa Tanzania ufikiwe !