huyo mama imetokea tu baada ya mhusika mkuu kukataa, kujishushia heshima yake, yeye alikuwa amesha chukua fomu ya kugombea ubunge, baada ya KITILA MKUMBO, kugoma ndio wakaona isiwe tabu bora liende, simama wewe mama, kama walikuwa wanaliona hilo la umuhimu wa mwanamke kwanini hawakumpa nafasi hiyo toka mwanzo?!! Eti tumchague tu kisa ni mwanamke, hii nchi kwa sasa tulipofikia mwanamke atuache kwanza tunyooshane kuiweka kwenye mstari then, taasisi zote zikiwa zinafanya kazi zao inavyotakiwa ndio mwanamke ataweza, Ingebidi kwa miaka hii mitano kwanza mtu aipeleke nchi hii ki dictator kuirudisha kwenye mstari, ambaye atavaa sura ya u kauzu. na lazima asitoke ugambani.