Zitto acha siasa za kishamba

True walahi
 
Ni mkoa gani ni tajili Tanzania? Tufafanulie na utajili wake.
 
Zito na yeye si alikuwa kangomba!!! aliunganishwa na jamaa yake bwege sasa wametaitiwa waonyeshe mashamba wanaanza swaga zisizo na msingi
 
Kama mnanunuwa korosho inakuwaje muanze kudhulumu korosho za watu?

Mbona wauza nyanya hamuwaulizi mashamba yao yako wapi?

Tungewaelewa kama mngekataa kupokea korosho zao na siyo kuwadhurumu.
 
Zitto ana uchungu na shamba lake, si unajua yeye ni politimaslahi
 
Niliwahi kumpa changamoto humu humu JF kuwa kwa kutumia elimu yake na Uchumi na networks alizonazo za masuala ya market, atafute masoko mapya ya bidhaa ama mazao tunayozalisha hapa nchini mfano mbaazi na choroko badala ya kutegemea soko moja la bara Hindi... hakuwahi kujibu changamoto ile ni kwa namna gani atawasaidia watanzania katika hilo kama kweli ana nia njema na watanzania.
 
Nani kasababisha mkoa wa kigoma uwe masikini ni ZZK ?
Umaskini wao kigoma ni wa kimaamuzi yaani kuchagua wawakikishi fake kama zzk,
Zitto anajua kabisa kigoma inahitaji mambo mengi ya marndeleo, lakini yeye hayapeleki bungeni anabaki kubishana na utawala all time.
 
Zito na yeye si alikuwa kangomba!!! aliunganishwa na jamaa yake bwege sasa wametaitiwa waonyeshe mashamba wanaanza swaga zisizo na msingi
Waulizeni na wauza nyanya wawaoneshe mashamba, hii ni dunia ya kibepari acheni ushamba wenu.
 
Musiba ,ngoja ukome.haupati hata utendaji wa kijiji,wew endelea kujipendekeza kwa rais.
 
Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata

Mkuu wewe akili zako hazina akili..

Sasa swala la mtu kutoka masikini yeye ndio amefanya kuwe masikini au serikali yako ya sisemu..
 
huu ugoro umechanganya na magadi??
 
Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi?

Leta sababu aliyosema zitto na kaifanyie uchunguzi ndio ujue kuwa wewe ndio Mshamba kiwango cha Stiglaz Goji..

Hivi akili zenu huwa mnazikalia, mbona vitu vidogo vyenye evidence nyie bado mnapotosha, nenda kajionee sio umejificha manzese afu unaleta taarifa za umbea hapa.
 
Photos can speak louder.

 
....kwa kipindi hiki ambacho kila mtu anaficha 'ubawa' wake wakati mwewe, keshajiamini na target yake wanasiasa sampuli ya zitto wanahitajika sana. Kwa akili yako ewe mtoa mada unafikiri korosho ingenunuliwa bila huyo huyo zitto kupiga kelele?.... Leo hii umepata cha unamharass zitto ni kwasababu huyu unayesema katokea mkoa duni ni miongoni mwa watetezi kuliko hata wewe. Ungekuwa na moyo huo ungejitokeza kabla wakati vuguvugu lile linaanza. Unless, tutakuona walewale wenye chuki binafsi na kabwe. Ulikuwa wapi kabla? Wabongo bwana.
 
Huyu jamaa nilishampuuza toka siku aliposaliti wenzake Chadema enzi hizo. Na mpaka leo dhambi ya usaliti inamwandama ana saliti nchi kwa sasa. Huyu jamaa bwege sanaa
Zitto ni bora kuliko nyie Nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…