Mligo Augustino
Senior Member
- Nov 29, 2017
- 126
- 278
Ninyi wapuuzi wa Lumumba ni nani aliyewaroga hata akaondoa akili zote akabakiza za kuhisi njaa tu na kuhisi mko uchi?Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Nani kasababisha mkoa wa kigoma uwe masikini ni ZZK ?Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?
On my opinion na kwakuzingatia maelezo yako ya kijuha wew unaweza kuwa lishamba zaidi!!Lait ungefaham situation ya huko watu wanavyoteseka usingethubutu kutoa ushuzi huuEti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi. Serikali ina wajibu wa kikatiba wa kulinda masilahi ya wananchi muda wote ndiyo maana iliamua kuingilia suala la kununua korosho za wananchi wake. Hii ni kutokana na wafanyabiashara kutaka kuwanyonya wananchi kwa kununua kwa bei ya chini.
Wanasiasa wa aina hii hawana ajenda tena. Ajenda ya kupiga vita ya ufisadi iliwafia baada ya wao wenyewe kuwa sehemu ya mafisadi.Rejea the NSSF episode. Kama huna hoja kaa kimya.
Too old huna hoja we mzeeHuyu jamaa nilishampuuza toka siku aliposaliti wenzake Chadema enzi hizo. Na mpaka leo dhambi ya usaliti inamwandama ana saliti nchi kwa sasa. Huyu jamaa bwege sanaa
Utaitambua tu na utatambua old is gold. Unadhani usaliti una uzee.Too old huna hoja we mzee
Akili za chekechea hizi, mtu kutoka sehemu masikini sio lazima na yeye ni masikini,Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?
mm nadhani nia nzuri ya serikali imeharibiwa na approach mbaya ya serikal yenyw,kwann utaifishe korosho ya mtu eti kisa hana shamba,vp Kama aliinunua kabla ya uamzi wa serikali wa kuinunua korosho??kama mtu hana shamba ila ana korosho kwann umzuie kwenda kutafta soko nje ili ww ununue hiyo ulooneshwa mashamba???Eti "wafanyabiashara wa korosho waipeleke serikali mahakama", kwa cause of action ipi? Je serikali imefanya kosa gani dhidi yao? Ni upuuzi kutafuta umaarufu wa kisiasa kupitia hoja za kitoto kama hizi. Serikali ina wajibu wa kikatiba wa kulinda masilahi ya wananchi muda wote ndiyo maana iliamua kuingilia suala la kununua korosho za wananchi wake. Hii ni kutokana na wafanyabiashara kutaka kuwanyonya wananchi kwa kununua kwa bei ya chini.
Wanasiasa wa aina hii hawana ajenda tena. Ajenda ya kupiga vita ya ufisadi iliwafia baada ya wao wenyewe kuwa sehemu ya mafisadi.Rejea the NSSF episode. Kama huna hoja kaa kimya.
Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifanya Tanzania iwe Dar es Salaam ambako umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Ataachaje ushamba mtu anayetoka Mkoa masikini wa kutupwa nchini lakini anahubiri eti Kazi na bata?
Kigoma umasikini ni zaidi ya asilimia 40 but still mtu anataka kuifananisha Kigoma na Dar es Salaam ambayo umasikini ni chini ya asilimia 5%?
Fanyeni kazi achaneni na wanafiki. Mpango mzima ni Hapa kazi tu! Ukizipata utajua namna utakavyozitumia.
No gains without pains!!