Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,456
- 3,382
K-vant zinamsumbuaUmelalama mpaka umesahau kuweka hoja yako
Sawa mkuuZitto na wewe wote ni walewale waliokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa akafa
Tulia hivyo hivyo mkuuSawa mkuu
Sawa mkuuMkuu toka lini misukule ikawa na hoja?
Wewe unapaswa ujue anayekufuata, mpigie simu aje, la sivyo na Leo utalindaLeo ni zamu ya nani kulinda kaburi la mungu wa Chato?
Hahaha hahaaa
Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?
Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo?
Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa
Mara hooh! Serikali haina pesa, nchi wahisani hawatoi pesa kwa dikiteta, Mara hoooh, wakandarasi hawalipwi kwa sababu serikali ya dikiteta haina fedha,
Mara hoooh, kaanzisha miradi mingi wakati fedha hazina hakuna, Mara haendi nje na ndiyo maana serikali yake haipewi mikopo kwa sabb kaharibu mahusiano!
Hizo fedha mnazosema JPM kakwapua kazipata wapi na mini kazifanyia?
Wewe mwenyewe unafahamika una mahekalu ya majumba huko nje, sasa utuambie huyo unayemsema kaiba pesa kapeleka wapi na kazipata wapi ili hali mlikuwa mkisema serikali yake haina pesa, takwimu ni za kupika?
JPM amewashinda akiwa hai na bado atawapiga akiwa hayupo
Jamaa linakurupuka tuu bila kutoa ushahidiZitto: Korosho zilimwagwa Baharini
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara. Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu. Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho. Hii ni aibu kubwa sana kama...www.jamiiforums.com
Hoja atapanda nayo kupitia umoja partyUmelalama mpaka umesahau kuweka hoja yako
Jiwe gani?Zitto anajing'atia Mzoga.Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?
Dogo hajitambui, anatumiwa na CCM lakini mwisho wake umeshawadia....wakimchoka tu ama huyu kiongozi muhusika anayemtumia akikata kamba dogo atakuwa na muda mgumu sana ndani ya jamii na hata huko CCM. Ipo siku atakuja kujiua tu kwa laana anazojipa kwa tamaa ya hela.Hahaha hahaaa
Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?
Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo?
Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa
Mara hooh! Serikali haina pesa, nchi wahisani hawatoi pesa kwa dikiteta, Mara hoooh, wakandarasi hawalipwi kwa sababu serikali ya dikiteta haina fedha,
Mara hoooh, kaanzisha miradi mingi wakati fedha hazina hakuna, Mara haendi nje na ndiyo maana serikali yake haipewi mikopo kwa sabb kaharibu mahusiano!
Hizo fedha mnazosema JPM kakwapua kazipata wapi na mini kazifanyia?
Wewe mwenyewe unafahamika una mahekalu ya majumba huko nje, sasa utuambie huyo unayemsema kaiba pesa kapeleka wapi na kazipata wapi ili hali mlikuwa mkisema serikali yake haina pesa, takwimu ni za kupika?
JPM amewashinda akiwa hai na bado atawapiga akiwa hayupo
Zitto anajitambuwa sana,kwa siasa zake za kutikisha kibetiti.Dogo hajitambui, anatumiwa na CCM lakini mwisho wake umeshawadia....wakimchoka tu ama huyu kiongozi muhusika anayemtumia akikata kamba dogo atakuwa na muda mgumu sana ndani ya jamii na hata huko CCM. Ipo siku atakuja kujiua tu kwa laana anazojipa kwa tamaa ya hela.
Ushahidi upewe wewe?Jamaa linakurupuka tuu bila kutoa ushahidi
Acha asemwe tu maana Zitto alifilisiwa kipindi jiwe anaingiali sasa unataka afanyaje hayo anayosema wala sio uongo yy muadhirika wa kwanza kwa hilo jiweHahaha hahaaa
Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?
Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo?
Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa
Mara hooh! Serikali haina pesa, nchi wahisani hawatoi pesa kwa dikiteta, Mara hoooh, wakandarasi hawalipwi kwa sababu serikali ya dikiteta haina fedha,
Mara hoooh, kaanzisha miradi mingi wakati fedha hazina hakuna, Mara haendi nje na ndiyo maana serikali yake haipewi mikopo kwa sabb kaharibu mahusiano!
Hizo fedha mnazosema JPM kakwapua kazipata wapi na mini kazifanyia?
Wewe mwenyewe unafahamika una mahekalu ya majumba huko nje, sasa utuambie huyo unayemsema kaiba pesa kapeleka wapi na kazipata wapi ili hali mlikuwa mkisema serikali yake haina pesa, takwimu ni za kupika?
JPM amewashinda akiwa hai na bado atawapiga akiwa hayupo
siyo fisadi nyangumi?Nyie nani msiambiwe ukweli? Mtu wenu alikuwa fisadi papa lazima asemqw tu
Unaonekana kama umechanganyikiwa...unacheka hovyo kama zwazwa na hoja huwekiHahaha hahaaa