ngoja nirecharge my battery (kitu cha Arusha) halaf nirudi kuchangia hii hoja ya German Shepherd/AlsaltianNashindwa kuona ni jinsi gani unaweza kutoboa kupitia Chama chako cha ACT kwa sasa, labda ukachukuwe Wananchama wa CUF lkn hapo sasa inabidi utumie karata kama aliyokuwa anaitumia CUF yaani Udini, kwa maana ni ngumu sana kwa sasa Mtz wa kawaida kuwaamini Upinzani na sera zao za ufisadi kwani chadema wamewasaliti wanachama wao kwa kumchukuwa fisadi Lowasa, hivyo una kazi ngumu sana ambayo na naweza kusema ni kama haiwezekani kwako kuweza kujenga Chama chako na kuwa kikubwa hapa nchini, nafasi pekee uliyonayo ni ya Udini yaani utumie Uislamu kwamba ACT kiwe de facto Chama cha Kiislamu kinyume na hapo sioni!
Umemjibu analostahili..Umezua Taharuki kule usa baby!Umehamia kwa zito daaah!
Hahahaa. Kasepa kimya kimya..Umezua Taharuki kule usa baby!Umehamia kwa zito daaah!
slaa anateswa na viapo vyake,viapo vina nguvu sana kuvivunja lazima ujue nini cha kufanya,kakiuka kiapo cha utawa,cha ndoa,usitegemee eti kuna siku huyo mzee akafanikiwa kwa jambo lolote maishani mwakeChama cha siasa kitakachokuja kuamika kwa sasa Tanzania ni kile kitakachoongozwa Na Dr.Slaa
Ataishia alipo ishia mrema.. 2020 atajidanganya kugombea urais na itakula kwakeKwa tume hii ya uchaguzi Zitto hata afanye miujiza gani hashindi chochote cha maana