LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,108
Nilisoma kwa makini fomu alizojaza mh Zitto Kabwe nikapata mshtuko mkubwa kuona kiwango cha madeni mwakilishi wetu huyo kinachomkabili...inawezekana pia hali hii inahusu karibu wabunge wengi na hivyo kuzua maswali yafutayo:
1.mbunge aliye katika madeni makubwa anawezaje kutimiza wajibu wake wa kibunge kwa ufasaha?
2.mbunge aliye katika madeni makubwa ni mhitaji mkubwa wa misaada ya kifedha katika kuziba pengo la marejesho ya mkopo..je atakwepa vipi mkono wa mafisadi kulinda au kupitisha maslahi yao?
3.kwa mantiki ya kifedha unaweza kukisia kipato cha mtu kwa kuangalia matumizi yake au mikopo.inawezekana vipi mbunge akawa na mikopo mikubwa wakati vyanzo vya mapato anavyovionesha ni vidogo...kwa hiyo yawezekana kuna mapato ya siri wanayopata ambayo hatujui kama yana maslahi kwa nchi.
..