mama yetu tunakuombea uishi mda mrefu,kweli mama yetu hali sio nzuri kama usemavyo mama,ufisadi,wizi,unafiki,ubinafsi,uongo na uzandiki ndo mfumo wa sasa wa serikali.upande mwingine nakuombea mungu muumba akuchukue ili usije ukashuhudia ghasia na vita.mlijitaidi kuweka usawa na amani nchini lakini mlioyahubili sio yanayotendeka kupitia chama tawala.sisi kama vijana tunashukuru kwa kuyaona na kuyasema yote uliyoyaona.mama usichaguliwe magazeti ya kusoma kuna magazeti mengi yanayofichua maovu ndani ya serikali kama vile Tanzania,mwananchi,-----,na mengine mengi.