Zito kuchemsha

Status
Not open for further replies.
Joined
Apr 24, 2014
Posts
63
Reaction score
3
Wananchi wameupokea huu umoja wa vyama kama ukombozi wao,ACT wao wanaubeza na kuungana na ccm,sasa ni wakati wakumpima zito maana ameanzisha ACT ili kuvunja upinzani
 
Kwa ujumla UKAWA wakiwa makini ccm hawana chao tena,jambo la msingi ni kuepuka propaganda za ccm kuwa gawa maana ndio mchezo wao
 
Wajinga na wasaka tonge ndo wanakimbilia kuanzisha/kujiunga na vyama vipya!
Tanzania adui mkuu ni CCM ndo maana tulivishauri vyama vikuu viungane! UKAWA, UKAWA, UKAWA daima hadi CCM wang'oke!
 
Wajinga na wasaka tonge ndo wanakimbilia kuanzisha/kujiunga na vyama vipya!
Tanzania adui mkuu ni CCM ndo maana tulivishauri vyama vikuu viungane! UKAWA, UKAWA, UKAWA daima hadi CCM wang'oke!

Jana nimeona jinsi kwenye picha jinsi Arusha walivyo ipokea UKAWA,nasikia ACT wanapita wakiwashaeishi wananchi kutoiunga mkono UKAWA sasa kweli hicho ni chama cha upinzani kweli?? Maana wao wangesema tunaunga mkono moja kwa moja UKAWA wananchi wangeona wanadhamira ya kweli.
 
Mleta mada acha kuwewesea, umeanzisha mada tuliza ma..ka....li.o watu wachangie
 
Zitto ni msaliti mbaya sana asiyestahili kusamehewa na mwanamabadiliko yeyote yule,CCM wanamsajilia Chama haraka ili kuzigawa kura za Chadema nyingine ziende ACT wao washinde kirahisi,Zitto anaijua hii Move vizuri sana af anajidai anataka kuwang'oa CCM madarakani ni mnafiki mkubwa sana huyu mtu,Wanamabadiliko tuungane tumkatae na ACT yake pamoja na fedha zake za rushwa anazotumia kupamba headlines za Magazeti,Ni mtu mwenye uchu wa madaraka,mdini,mkabila,mkanda na mla rushwa mkubwa ni kirusi hatari sana kwenye nchi hii ndiyo maana wabunge wa CCM walimpigia sana makofi Bungeni baada ya kufanikisha kazi yao ya kuibomoa Chadema,Yeye mabadiliko ni pale tu atakapokuwa Mwenyekiti wa Chadema na mgombea Uraisi does it makes sense kweli?Tuunganishe nguvu kukimaliza hichi kirusi hatari kwenye mabadiliko ya nchi hii manake kilivyojijenga na mtandao wake hata ukiandika thread humu kuwaeleza watu SIDE B yake haikai.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona zzk ana wapashida wakati mpaka sasa %70 hatutaki kumuona KIGOMA baada ya kugundua kuwa ni mamuruki wa siasa.
 
Amekwisha potea huyu, ZZK ni janga la karne. Wananchi watamaliza hiyo kesi ikifika muda mwafaka
 
Hauna jipya.
Mama Maria Nyerere amesema amechoka kupangiwa kusomavijigazeti vya uhuru, mzalendo na habari leo ......hataki tena mchezo huo amechoka ......una maoni gani?
 
Ww umeleta mada ww tena washambulia coment kibao tena za kwako huwezi ukamfitinisha zzk kwa majungu yako hayo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…