Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?
Kwani ZZK hana utashi wa kufanya hayo mwenyewe?Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?
Kwani Kikwete na Zitto wanashare Urais wa Tanzania mpaka Msanii amtume Zitto amfanyie kazi ambazo Kikwete alistahili kuzifanya? Huyu jamaa kama kiongozi wa nchi anatia aibu sana. Tuliandika hapa kwamba magamba wamtafute mgombea mwingine katika uchaguzi wa 2010 lakini kuna watu wakampigia debe la nguvu akiwemo Malecela na kudai kwamba Magamba wana utamaduni wao wa kuachiana Kiongozi akae madarakani kwa awamu mbili (miaka 10) hivyo kusingekuwa na mgombea mwingine yeyote toka magamba zaidi ya Kikwete. Pamoja na kuvurunda sana katika awamu yake ya kwanza bado magamba wakampitisha kama mgombea wao, sasa wamevuna walichopanda wanahaha huku na kule katika kutaka kuwahadaa Watanzania baada ya kuona kifo chao kinakuja kwa kasi ya kutisha. Kigumu chama cha magamba!!!! Kigumu!!!
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?
Jk hana ubia na mtu yeyote, lakini ana ubia na wezi
Katumwa kwani yeye jini?
atumwe yey shetani??
Jamani JK yupo nchini au bado anaangalia nyanya za brazil??
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?
Kwani yeye mkuu wa kaya si mbadhilifu?Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?
Si lazima awe mwenyekiti ndio agombee urais,cha msingi ni kuchukua form na kuomba nafasi ya kukiwakilisha chama chake,wasiwasi wangu ni jee Slaa na Mbowe watampitisha?Hatimae zitto ghafla kawa shujaa ndani ya chadema leo,nadhani ni wakati muafaka kwa zitto sasa kugombea uenyekiti wa chadema na pia kupitishwa kuwa mgombea urais kwa tkt ya cdm.Anafaa
Mkuu salaam,Uraisi wa nchi sio kazi ndogo mkuu kama wewe na watu wengi wanavyo fikiria.Nchi haiendeshwi kinadharia.Hivyo Raisi haendeshi nchi kwa kusikiliza comments za watu.kuna umakini wa hali ya juu sana ambao ndio unaomfanya afikie maamuzi.kuna secret service na washauri kibao ambao wako kwa ajili hiyo.suala la kusema kwamba Raisi anawaogopa marafiki zake nalo halipo.labda mkuu hujui nguvu na mamlaka yanayoambatana na cheo cha Uraisi wa nchi.JK angekuwa anawaogopa hao jamaa,sidhani kama bado wangekuwepo mpaka leo.kwamba kutokana na mamlaka aliyonayo Raisi lilikuwa ni suala la yeye kutoa order,basi kazi imekwisha.kama kagame alivyokuwa anaagiza vijana wake kwenda kuwapoteza maadui zake waliokuwa wamekimbilia nchi za nje.kwahiyo JK ni kwasababu ya utu na sababu nyingine anazozijua yeye ndio maana mambo yako kama yalivyo.Maadam hatujui mipango yake hatutakiwi kumbeza Raisi kwa kudhania solution yake ni kuwafukuza tu then kazi imekwisha.Mambo hayako simple namna hiyo Mkuu.Be blessed!Hivi Mkuu bado unadhani JK anaujasiri wa kumuwajibisha mshikaji wake yeyote? The only way anayoweza kufanya kitu kama hicho ni kwa kuwatumia baadhi ya watu. JK ni muoga sana kukosana na washikaji kuliko kuiokoa nchi na wizi. mbona ushahidi ni mwingi tu mkuu! ukifuatilia EPA, RICHMOND-DOWANS, JAIRO, LUHANJO nk. Angalau Pinda alishawahi kusema angekuwa na madaraka angemfukuza kazi Jairo straight away - (If you can read between the lines this statement has a lot to tell)
Mnataka kuanza kumpa credit JK za bure tu; atakuwa na udhaifu wa kiasi gani wa kutaka kumtumia mpinzani kufanya jambo ambalo yeye mwenyewe ana uwezo wa kulifanya bila kulazimishwa na yeyote? mpeni credit Zitto kwa hili na wenzake
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo tu sisi makabwela?