mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 254
- 101
Kamanda upo sahihi 100% na nawaomba watu wafuate huu ushauri ndio unaokubalikaUmeongea vizur mkuu lakin hapo cyo sahihi, cku pekee ambazo ni hatari ni kuanzia siku ya 11 kuanzia siku ya kwanza aliyoanza kuona menses (damu) mpaka ya 17. Ovulation (kuchavushwa yai) huwa ni siku ya 14 lakini kwa tahadhari unaacha siku 3 before and after ndiyo maana inaangukia siku ya 11 hadi ya 17. The rest hakuna madhara mpaka atakapoona tena damu anaanza upya kuhesab