cai
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,351
- 1,330
1. CRITICAL-MATHEMATICAL INTELLIGENCE (Wale ambao ni wazuri kwenye mahesabu-vipanga)
2 . VERBAL-LINGUISTIC INTELLIGENCE (wale wanao uwezo wa KUONGEA lugha zaidi au nyingi zaidi, kama tano )
3. KINETHETIC-BODY INTELLNGENCE (Hapa ndo unawapata akina SAMATTA na wale ambao wanaweza kucheza sarakasi kutumia akili zao kwenye mpira, akina Messi wapo hapa)
4. RYTHMICAL-MUSICAL INTELLIGENCE (hapa ndo wale washairi watunzi wa nyimbo waimbaji wazuri akina Diamond Platinumz ndo wapo hapa)
5. VISUAL SPARTIAL INTELLIGENCE (Ni wale wachambuzi wa mambo mbalimbali yanayotokea duniani.kuielezea dunia iluvyo mabo yanayotokea MBALI na mahala walipo)
6. INTERPERSONAL (hapa ni wale wanao uwezo wa kutumia psycholojia zao kuishi na wengine VIZURI bila kuleta labsha.wenye uwezo wa kuwavumilia udhaifu was wengine)
7. INTRAPESONAL INTELLIGENCE (wale ambao Wana uwezo wa KUJITAMBUA na kutambua nafsi zao kutambua wapi wanakosea)
8. NATURALISTIC INTELLIGENCE (Hapa ndo unawapata wale ambao wana uwezo wa kujua asili ya dunia watabiri na wale went uwezo wa kuona au kutumia nature/asili I'll kutatua MATATIZO yao)
Je, we uko genious kwenye kundi gani?
Kumbe kila mtu ana kuwa genious/kipanga katika eneo flani.
Unaweza usiwe kipanga kwenye hesabu LAKINI ukawa kipanga kwenye music.