Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,107
Kwa watoto nzuri tu, labda wazee ndo haifai maana miili yao haiko active sana hivyo sukari itakaa mwilini bila kazi italeta shida.Dah hii juice ina sukari nyingi sana..
Haijakaa sawa haswa kwa matumizi ya watoto na wazee..
View attachment 1755505
Yeah, kwa watoto wa uswahilini hakuna madhara kabisa.Kwa watoto nzuri tu, labda wazee ndo haifai maana miili yao haiko active sana hivyo sukari itakaa mwilini bila kazi italeta shida.
Just imagine mishe mishe alizonazo mtoto kwenye masaa 12 ya kutwa nzima kuna sukari itabaki mwili mwake? Labda wale watoto wa geti kali wasiocheza kwenye hizi purukushani za kitaa.
Nilijikuta nainywa tu kusindikizia gem ya simbaU fresh ni wachina hao ....wao pesa ni muhimu kuliko chochote kile!
dah, hawajaonyesha hata amount
Hivi tbs haioni haya madude? Ni kuweka nembo?dah, hawajaonyesha hata amount