zipi changamoto za BMW X6M50d

Kachukue tu gari nzuri
Yeah sure akachukue tu maana hapa majibu ya magari ya kizungu huwaga ni yaleyale Mara nyingi,,upatikanaji wa spares, mafundi wazoefu, na matunzo yaliyotukuka,itunze ikutunze,,,haihitaji janjajanja,,lakini wakija wataalamu wataeleza vizuri
 
Injini: 3.0L, silinda 6, diesel
Nguvu: takribani 400 hp
Torque: karibu 760 Nm
Gearbox: Automatic ya speed 8
Mfumo wa kuvuta: xDrive (4WD/AWD) — nguvu huenda kwenye magurudumu yote
0–100 km/h: karibu 5.2 sekunde
Mwendo wa mwisho: karibu 250 km/h
Matumizi ya mafuta: kwa kawaida takribani 8–11 km/L
 
Wadau hiyo gari Bmw x6m50d ni gari ambayo naipenda sana je inachangamoto nyingi sana? Kama kuna ushauri nazingatiaView attachment 3642517
Ushauri wangu usinunue iliozidi miaka 8. Yaani kwa sasa hivi nunua ya 2018 kwenda mbele.
BMW na magari yote ya Ulaya hayataki shortcut, na hela za mawazo. Kama umezoea kuhudumia mbwa(gari za Japan) inabidi ujiandae kuhudumia simba(gari za Germany)
 
Hazina maelezo mengi kwa mafundi wa mikoani? au zinaendana mifumo mingi na hizi M isije ikawa fundi anatoka dar ( naona ni gari la michezo)
 
Hazina maelezo mengi kwa mafundi wa mikoani? au zinaendana mifumo mingi na hizi M isije ikawa fundi anatoka dar ( naona ni gari la michezo)
Fundi awe mkoani au wilayani anahitaji knowledge na vifaa vizuri hio sio GX100 mkuu.
 
Ya miaka ya karibuni ni twin turbo V 8 engine mkuu ni gari nzuri sema haitaki ujanja ujanja kabisa na kuagiza Bmw x 6 zinataka uchukue zilizo ndani ya miaka 8 maana zinakua zipo sawa vitu vingi na pia unapunguza ongezeko la uchakavu kwenye kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…