Zipe neno picha hizi!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,464

Nini umegundua kwenye huu msitu??


Je unaweza kukubali kujifunza na wenzio??

Siyo kuwa ni hatari kwa mwenziye bali hata kwake huu ni ukauzu zaidi ya dagaa!!
 
Picha ya kwanza hiyo miti imetengeneza sura ya kama ya binadamu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…