Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,865
- 2,176
Ndugu kiushauri weka tangazo lako maana tunaziweka bei zetu kutokana na unaponunua sasa anaweza kukuuzia mashine used au isiyo na ubora bei ya chini mwisho wa siku hata mwaka haimaliziMagomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
Mkuu hyo machine yenye tray1 inatoa piece ngapi kwa wakati mmoja na kwa muda gn?Najidakia online store wanatoa service ifuatayo
mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa gharama yake million tano tu
Pia zipo za kutoka China kwa wapenzi wa hizi mashine zipo uwezo tofauti tray moja 2.6m
Na tray mbili 3.8m
Tray tatu 4.9m
Kwa sasa imebaki moja tu yenye tray moja karibuni
0762612213
Mashine zote zinazouzwa chini yetu najidakia store ni imara na bora
View attachment 1020319View attachment 1020321View attachment 1020322View attachment 1020323
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hyo machine yenye tray1 inatoa piece ngapi kwa wakati mmoja na kwa muda gn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba nielekeze, nimeku pm.Magomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
Ukinunua urudi kutuambia na ukipigwa piaMkuu naomba nielekeze, nimeku pm.
Naomba jina la kampuni ni google nilinganishe bei mkuu kama ulivyoshauri, zenu ni brand gani!Ndugu kiushauri weka tangazo lako maana tunaziweka bei zetu kutokana na unaponunua sasa anaweza kukuuzia mashine used au isiyo na ubora bei ya chini mwisho wa siku hata mwaka haimalizi
China ina soko kubwa nyinyi ndo mnaifanya nchi yetu dampo la vitu vibovu Angalia hizo model zetu na linganisha na hizo zako hatukubezi
Na kuthibitisha zaidi ingia mtandaoni google kampuni za hizi mashine na bei zake zilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ufafanue na watt kila moja ina ngapi, na je zinatumia huu umeme wa majumbani au 3Najidakia online store wanatoa service ifuatayo
mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa gharama yake million tano tu
Pia zipo za kutoka China kwa wapenzi wa hizi mashine zipo uwezo tofauti tray moja 2.6m
Na tray mbili 3.8m
Tray tatu 4.9m
Kwa sasa imebaki moja tu yenye tray moja karibuni
0762612213
Mashine zote zinazouzwa chini yetu najidakia store ni imara na bora
View attachment 1020319View attachment 1020321View attachment 1020322View attachment 1020323
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kutufumbua machoMagomeni unapata mashine ya lamba lamba kwa milion moja na laki tano anaetaka anichek dm nimuekekeze pa kwenda akanunue kwa bei ya 1.5m muache kuwapiga watu na bei za juu, mara mashine ya corn milion 3, mara lamba lamba mashine milion 3 du
Mkuu kama chimbo zuri nikwazike nini kuwa huru japo naona unawauzia friji wenzioMi najua ukwazika mkuu sema poa tu ndo soko limeamua unabei sana mkuu ata kama ni ubora wako umezidi yani 1.5 M wewe umepaa mpk 3M wacha tuwape connection na wengine waende magomeni tu
Sent from my iPhone using JamiiForums