englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Ni wakati ambapo unaona kila unayemkamia akuoe anakupa kibuti cha shingo hapo lazima Sir God atafutwe kokote alipo,c unajua raia wema hatumtafuti Sir God mpaka muda wa dk za nyongeza mkuu:faint:wakati wa Bwana ndio wakati upi huo?
Ni wakati ambapo unaona kila unayemkamia akuoe anakupa kibuti cha shingo hapo lazima Sir God atafutwe kokote alipo,c unajua raia wema hatumtafuti Sir God mpaka muda wa dk za nyongeza mkuu:faint:
Pindi atakapokupa mke/mume mwemawakati wa Bwana ndio wakati upi huo?
Hii nayo ni kweliNi wakati ambapo unaona kila unayemkamia akuoe anakupa kibuti cha shingo hapo lazima Sir God atafutwe kokote alipo,c unajua raia wema hatumtafuti Sir God mpaka muda wa dk za nyongeza mkuu:faint:
Badili ya kuweka hizo guidelines kwanini watu wasibadilike kifikra ambazo zimetawala jamii kuwa kama wewe ni mwanamke lazima uolewe @ certain age. Kufanya hivyo mnamuweka mwanamke kwenye 'hard time', sio wote huwa wanajaliwa kupata wenza wawatakao could be any reason.
Mimi naomba acheni kuwanyanyapaa na kila mmoja ajue lake ikiwa kitu hakikuhusu...............hasa ukiwa unaaamini mke bora na mume bora anatoka kwa mungu then let it happen naturally.
Pindi atakapokupa mke/mume mwema
Hivi kuna mtu anajikuta tu kapewa mke au mume bila initiatives zozote?
Badili ya kuweka hizo guidelines kwanini watu wasibadilike kifikra ambazo zimetawala jamii kuwa kama wewe ni mwanamke lazima uolewe @ certain age. Kufanya hivyo mnamuweka mwanamke kwenye 'hard time', sio wote huwa wanajaliwa kupata wenza wawatakao could be any reason.
Mimi naomba acheni kuwanyanyapaa na kila mmoja ajue lake ikiwa kitu hakikuhusu...............hasa ukiwa unaaamini mke bora na mume bora anatoka kwa mungu then let it happen naturally.
Lol...unaangushiwa kama furushi toka juu.....
Ogopa mazingira kama baa au kilabuni............itakuwa imeandaliwa na shetaniNadhani Mungu anachofanya ni kutoa fursa au kuandaa mazingira ya watarajiwa kukutana, suala ya kumwaga mbungi "kutongozana" hilo labakia kuwa la wahusika...sasa fursa hii ndio sisi wanadamu twaitumia vibaya