Zinauzwa Desktop 2 complete

Zinauzwa Desktop 2 complete

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Monitor flat 19inch, 2.8GHZ CPU, Keyborad na mouse @ 150,000/=. Nipo Dar es salaam, ninaziuza kwa sababu nimenunua Laptop ni PM kama unazihitaji.

Shukrani sana wakuu.
 
mbona specifications hazijakamilika hzo ndugu weka kila kitu hapo tufanye bussines
 
Monitor flat 19inch, 2.8GHZ CPU, Keyborad na mouse @ 150,000/=. Nipo Dar es salaam, ninaziuza kwa sababu nimenunua Laptop ni PM kama unazihitaji.

Shukrani sana wakuu.

harddisk na ram zinaukubwa gani?
 
Monitor flat 19inch, 2.8GHZ CPU, Keyborad na mouse @ 150,000/=. Nipo Dar es salaam, ninaziuza kwa sababu nimenunua Laptop ni PM kama unazihitaji.

Shukrani sana wakuu.
weka mawasiliano achana na habari za pm, btw mi Nina 100.
 
Huyu muuza desk top mwizi kichiz, hana jipya kaeni chonjo
 
Huyu muuza desk top mwizi kichiz, hana jipya kaeni chonjo
kaka wewe ndio una jipya....hebu thibitisha mbele ya great thinkers wizi wangu......halafu jifunze kufikiria kabla ya kuandika....ukiendelea kuwa na tabia hii,utapata shida kwenye maisha.
 
kaka wewe ndio una jipya....hebu thibitisha mbele ya great thinkers wizi wangu......halafu jifunze kufikiria kabla ya kuandika....ukiendelea kuwa na tabia hii,utapata shida kwenye maisha.

Umeweka cont hapo lkn hata hupatikani so inakuwake hapo mkuu na watu tunamaanisha
 
Umeweka cont hapo lkn hata hupatikani so inakuwake hapo mkuu na watu ....tunamaanisha
kaka samahani sana,...ila ungesema tu mbona simu yako haipatikani ingekuwa sawa zaidi....okey line yangu wkt unapiga iko kwenye modem...ngoja niiweke kwenye simu sasa hv....lakini sms hata kwenye pc nazipokea na kujibu...samahani kaka.
 
kama unazo nyingi ntakutafuta mwenzi wa.pili nataka deaktop mbili na laptop moja
 
Back
Top Bottom