Upo pande zipi?Mwenye 'floor carpet'za gari aina ya Volkswagen Golf aje chapu tufanye biashara.![]()
Mcheck huyu Jamaa anaitwa
Mcheck huyu Jamaa anaitwa
Dr.mweusi yuko Sinza na insta nae unaweza muona products zake.
Dr.Mweusi
+255 764 203 614
Kumbe 😀😀Jamaa nlisoma nae Advance school
Mshikaji ni yule anaye kushika shika.Kumbe 😀😀
Ni mshikaji sana nachukuaga accessories mala nyingi kwake.
Doh haya Boss.Mshikaji ni yule anaye kushika shika.