mlokole halisi
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 268
- 87
Hyo ndoa ya mutaa ipo kwa shia mpska leo wanaitumia,kwa upande wangu mimi kwa sasa haifai ksbisa kwa sababu yamekuja mskstazo kukataza jambo hilo.
Lakini mwanzo iliruhusiwa baada ya masahaba kwenda vitani wakakaa mda mwingi huko mpaks wakataka wajitoe nguvu za kiume(wajihasi)ili wasishughulishe na matamanio,mtume akaona hapo watafikia kubaya ndo akaruhusu hiyo ndoa kwa wakati alafu baada ya hapo hakuiruhusu kwa sababu ilikuwa dharula na hali ilifkia hivyo.
Kwa wakti huu wapo wanaokubali ila kwa upande wetu wengi hatuikubali hiyo ndoa.
Lakini hiyo mutaa bado wahusika wanakuwa ndani ya ndoa ila shida yake ni huo mkataba ndiyo shida ilipo
Allah Ameelewa maudhui ya hilo Andiko hadi akamtuma Muhammad Awasomee..bado HUJA Muamini allah?¿??Allah ndio alimiambia kuwa 945=845? ahahahaahhhahhaha uongo wa waandishi wenu na janja janja yao unamsingizia Allah ahahahaah
Allah Ameelewa maudhui ya hilo Andiko hadi akamtuma Muhammad Awasomee..bado HUJA Muamini allah?¿??View attachment 1014221View attachment 1014223
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuna tatizo na kuamini sisi tunaamini taurati, zaburi na Injili, wala hakuna tabu , wewe umedai waandishi wa biblia wameongozwa na roho mtakatifu sasa unapotakiwa kuthibitisha yupi asa kweli alitaja idadi kamili ile aliyoiona roho mtakatifu yaani 945 au 845 unaanza kuangaika na vitu ambavyo hakuna aliekuuliza ahahaha ahahahhahahhahahAllah Ameelewa maudhui ya hilo Andiko hadi akamtuma Muhammad Awasomee..bado HUJA Muamini allah?¿??View attachment 1014221View attachment 1014223
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuna tatizo na kuamini sisi tunaamini taurati, zaburi na Injili, wala hakuna tabu , wewe umedai waandishi wa biblia wameongozwa na roho mtakatifu sasa unapotakiwa kuthibitisha yupi asa kweli alitaja idadi kamili ile aliyoiona roho mtakatifu yaani 945 au 845 unaanza kuangaika na vitu ambavyo hakuna aliekuuliza ahahaha ahahahhahahhahah
Mm huwa sikuelewi unataka nn hasa !!!
Maana hutulii katika Mada,ni mtu wa kuruka ruka sana
Embu tulia,kisha eleza unataka nn?!
Hit ktk point,kisha tulia mpaka ieleweke
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada imesha wekwa! Mjadala unaenda vizuri tu! Sasa mjadala gani wa elimu UNAO utaka wewe? Mimi ktk kulingania Imani yangu Kigezo changu na mwalimu wangu ni Yesu! wewe sijui Kigezo na mwalimu wako nani! Kuna mlingano hapo? Heri ungekuja na sura ya makafir! Halafu ukanyuti...
Mada imesha wekwa! Mjadala unaenda vizuri tu! Sasa mjadala gani wa elimu UNAO utaka wewe? Mimi ktk kulingania Imani yangu Kigezo changu na mwalimu wangu ni Yesu! wewe sijui Kigezo na mwalimu wako nani! Kuna mlingano hapo? Heri ungekuja na sura ya makafir! Halafu ukanyuti...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujatoa mfano wowote wala elimu yeyote ,zaidi ya kuruka ruka kama maharage, ebu tuambie 945 toka lini ikawa sawa na 845? tupime hiyo elimu yako mpyaMifano yoote niliyo kupa, mafundisho yoote Aliyo kufundisha allah; kwamba hapo hapo wote wako SAHIHI Hakuna aliye kosea! Ilaha Andiko limekuua, Ungejaliwa Ilimu ya ROHO ungehuika! Tatizo ni Ilimu yako ya kukariri!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Haja ya kuparurana
Kisilamu silamu umepatia waukaye!Ujatoa mfano wowote wala elimu yeyote ,zaidi ya kuruka ruka kama maharage, ebu tuambie 945 toka lini ikawa sawa na 845? tupime hiyo elimu yako mpya
Tubarikiwe sote kaka,ila sasa uzi umeingiliwa tumeshakaa pembeni mans hakuna liwako Mkuu.katika kujibu kwako nimeona una hekima Fulani na utulivu pia kujiamini.....nimeupenda huu Uzi sababu yako ndugu.......barikiwa zaidi