KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,738
- 58,455
Hongera.never happen
Hongera.never happen
Ni kweli, hospitali siku hizi ukienda hata kama unaumwa macho utapimwa na huu ugonjwa tu. Unashangaa ugonjwa ulokupeleka hauna mahusiano na maabara ila unaambiwa kwenda maabara.Mdau hii ni kawaida sana siku hizi aidha iwe ni maadili au nje na maadili. Sehemu nyingi wagonjwa au wateja wa vipimo vya damu wakishachukuliwa damu jamaa wa huduma ya afya wanajiongeza kuzipima hata HIV pasipo wateja kujua, utaletewa majibu ya malaria etc huku washabaki na sample au majibu kukuhusu wewe habari ya ngoma.
Vipimo visivyo shirikishi na visivyo husishi na visivyo hiari na blind testing.
Be warned jali afya yako. Kupata data za maambukizi kwa hiari na shirikishi haileti mutikio, data za kutosha hivyo hii mbinu ya kujiongeza ina matunda sana.
Kwamba inafaa na ni haki haihusu muhimu jichunge na jihadhari daima.
Matabibu kujeni hapa wajameni.
Bora umeona hilo nauhakika wote waliojitetea huku ndyo walengwa yaan imewapaini mapovu yanawatoka wanajua jinsi gan wameyakanyaga ukiwaambia sa hv wapime ni murder kesi unatafuta..mtulie dawa izidi kuwaingia taratiibbb ..Mola kaleta ugonjwa wa Ukimwi kama adhabu ya wazinifu na halina dawa mpk hapo jifikirieni starehe ya mda mfupi unaugulia miakaVitombi vinavyojitetea sasa!! Endeleeni tu kujisifia ujinga.
Kapime dada..hyo n makasiriko unayo na woga umeyakanyagaKila kiumbe hai ni mfu aliye hai,
Sasa sijajua hofu ya kifo ni nini wakati mwisho wa siku wote lazima tufe.
Nimecheka kinomaTunalaumiwa wanaume tu utafikiri hiyo Zina tunafanyaga na nungunungu!!
Anataka kutuletea habari hewa huyu..Nimecheka kinoma![]()
Acha kumsingizia mungu mambi ya kipumbafu.Bora umeona hilo nauhakika wote waliojitetea huku ndyo walengwa yaan imewapaini mapovu yanawatoka wanajua jinsi gan wameyakanyaga ukiwaambia sa hv wapime ni murder kesi unatafuta..mtulie dawa izidi kuwaingia taratiibbb ..Mola kaleta ugonjwa wa Ukimwi kama adhabu ya wazinifu na halina dawa mpk hapo jifikirieni starehe ya mda mfupi unaugulia miaka
Mapovu yanakutoka umeungua wew...emb tumia ARVUgonjwa ni kama myths halafu nyinyi fackeni mnajikuta ushauri na nasaha ndio mnaambukizwaga mazafaka
Ona sasa umejipima mara ishirini majibu yanatoka positive bado huamini tu pole sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Upumbav unao wewe mwenye makasiriko hujapima toka uanze uzinziAcha kumsingizia mungu mambi ya kipumbafu.
Sabab nlikupima wewe na familia yako wote ndo nkapata hvyo vipimohuyo ameonesha ni jinsi gani amepima zaidi ya mara 20 ,lakini majibu bado ni + ... SO anashangaaa haaaminiii macho yake paleeeee
Povu ruhsa ila kapime sa hz sio unakaa kama swala unaish kw waswasAnataka kutuletea habari hewa huyu..
Nimesema wapi ni yangu au umetoka usingizin au ni bangi mbichi unakula na ugali wewSo ukaiba picha jukwaa la snap it show it ukajipa umiliki wewe au sio
Ntakuonyesha ni wapi endapo ww ukinionyesha wapi ulipoweka wazi picha hyo sio yakoNimesema wapi ni yangu au umetoka usingizin au ni bangi mbichi unakula na ugali wew
Emb katafute kaz yakufanya ..deki hata bahari ...ukapime hzo n stressNtakuonyesha ni wapi endapo ww ukinionyesha wapi ulipoweka wazi picha hyo sio yako