ZIMELIPWA NGAPI ?

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,867
Reaction score
8,277
habari wandugu
huwa najiuliza kila nisikiapo kuwa tunapopewa taarifa kwamba nchi imepata mkopo a.k.a msaada lakini nchi inapolipa hiyo mikopo hatupewi taarifa je hatuna haki ya kujua inavyolipwa ?

 
Watakua wamelipa na pesa zipi kiongozi?.
 
mkuu deni kuna njia zaidi ya moja ya kulipa unaweza lipa Kwa fedha au Kwa mali na kuna mdau mmoja huku alishasema BOT kuna kitengo cha maliasili (madini) kwahio wanaweza toa tembo moja deni likaisha
 
mkuu deni kuna njia zaidi ya moja ya kulipa unaweza lipa Kwa fedha au Kwa mali na kuna mdau mmoja huku alishasema BOT kuna kitengo cha maliasili (madini) kwahio wanaweza toa tembo moja deni likaisha
Tembo wa dhahabu au wa Tanzanite?
Maana kama ni tembo mnyama huo mkopo utakuwa wa ambulance sio $$$$$$$$$$$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…