Zimbabwe iko mbioni kuingia makubaliano na Tanzania kuhusu ununuzi wa Mahindi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Makubaliano yanatarajiwa kufikia kikomo mwishoni mwa mwezi huu. Zimbabwe ilikumbwa na ukame na mafuriko mwanzoni mwa mwaka huu

> Majanga hayo yaliharibu miundombinu ya kilimo na kusababisha baa la njaa katika Taifa hilo la Kusini mwa Afrika

> Kiwango cha Mahindi yatakayouzwa kwa Zimbabwe kitajulikana baada ya makubaliano kufikiwa

=======

Zimbabwe may clinch an agreement to buy corn from Tanzania by the end of this month, according to the east African country’s agriculture minister.

The southern African nation, hit by a drought and floods from a cyclone this year, is seeking the grain to meet its needs. The country on Tuesday declared a state of disaster because of the lack of rain.

“Negotiations are still ongoing. We hope to agree on the terms within the next two weeks to enable delivery to take place,” said Japhet Hasunga, the Tanzanian minister. “It’s only after we conclude the negotiations that I will be in a position to disclose the quantity we will export.”

Questions sent to the office of Sibusiso Moyo, Zimbabwe’s foreign affairs minister and head of its grain importation committee, weren’t responded to.

-Bloomberg-
 
Ni habari njema kwa wakulima wetu,.Udugu ni kufaaana siyo kufanana.
 
Hakuna wajinga kama hao Zimbabweans, waliwanyang'anya wazungu mashamba wakifikiri kulima ni lelemama sasa wamekuwa tangatanga team. Ngoja njaa iwanyoshe.

Huko nyuma Zimbabwe ilikuwa the bread basket of Africa wakiuza vyakula hadi Ulaya sasa leo wamekuwa the net importer of food, very shameful na bado akina Mnangagwa wako busy kuiba kura. Afrika ni laana tupu.
 
Kunyang'anya mashamba kienyeji bila mipango ya kuwawezesha kulima ni kosa kubwa.

Upande mwingine najiuliza hao hao wazungu wangezuwia mafuriko na janga la kimbunga?

Tanzania wana nafaka za kutosha ambazo hawalimi wazungu, hivyo sio lazima walime walowezi kulisha nchi husika.
 
Makubaliano yanatarajiwa kufikia kikomo mwishoni mwa mwezi huu. Zimbabwe ilikumbwa na ukame na mafuriko mwanzoni mwa mwaka huu

> Majanga hayo yaliharibu miundombinu ya kilimo na kusababisha baa la njaa katika Taifa hilo la Kusini mwa Afrika

> Kiwango cha Mahindi yatakayouzwa kwa Zimbabwe kitajulikana baada ya makubaliano kufikiwa

=======

Zimbabwe may clinch an agreement to buy corn from Tanzania by the end of this month, according to the east African country’s agriculture minister.

The southern African nation, hit by a drought and floods from a cyclone this year, is seeking the grain to meet its needs. The country on Tuesday declared a state of disaster because of the lack of rain.

“Negotiations are still ongoing. We hope to agree on the terms within the next two weeks to enable delivery to take place,” said Japhet Hasunga, the Tanzanian minister. “It’s only after we conclude the negotiations that I will be in a position to disclose the quantity we will export.”

Questions sent to the office of Sibusiso Moyo, Zimbabwe’s foreign affairs minister and head of its grain importation committee, weren’t responded to.

-Bloomberg-
WASAIDIWE/WAUZIWE
HAO NI NDG ZETU NA NI BINADAMU WENZETU LAKIN PIA TUKUMBUKE WALIWAHI KUTUSAIDIA
 
Kunyang'anya mashamba kienyeji bila mipango ya kuwawezesha kulima ni kosa kubwa.

Upande mwingine najiuliza hao hao wazungu wangezuwia mafuriko na janga la kimbunga?

Tanzania wana nafaka za kutosha ambazo hawalimi wazungu, hivyo sio lazima walime walowezi kulisha nchi husika.
YES, U R RT
 
Sasa hii inayofanyika hapa Tanzania pia unaita ni kilimo, kumbe wewe hata hujui tofauti ya Subsistence Agriculture na Commercial Agriculture.

Tanzania tungekuwa tunaendesha kilimo chenye tija na kwa 80% ya watu kuwa ktk sekta ya kilimo nchi hii tusingekuwa na mtu maskini tungeweza ku-export mazao ulaya na Marekani through Agoa.

Lkn kwa kuwa taifa linaendeshwa kitapeli-tapeli na kibabe, tumeshindwa kujitosheleza hata kwa kuzalisha sukari pamoja na ardhi kubwa na yenye rutuba tuliyonayo.

Kama unaamini kwamba hichi ni kilimo basi labda utakuwa hujatembea au usomaji wako ni shallow sana.
 
Back
Top Bottom