EL ELYON JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,675 Reaction score 2,115 May 30, 2014 #1 Wakuu watu wanauliza hasa mheshimiwa kishindo atoa japo taarifa watu wa konstebo na sajini wataitwa lini kazini? Maana hapasomeki huku mjini.watu wanapanga mipango ya kwenda bush kupiga dili za ukulima na uvuvi mkuu kishindo funguka aisee.
Wakuu watu wanauliza hasa mheshimiwa kishindo atoa japo taarifa watu wa konstebo na sajini wataitwa lini kazini? Maana hapasomeki huku mjini.watu wanapanga mipango ya kwenda bush kupiga dili za ukulima na uvuvi mkuu kishindo funguka aisee.
C calyx Member Joined May 3, 2014 Posts 38 Reaction score 8 May 30, 2014 #2 Sio lazma atoe assistance inspector kishindo , wizara haina hela so ndio maana wanachelewa. So kuwa nasubira
Sio lazma atoe assistance inspector kishindo , wizara haina hela so ndio maana wanachelewa. So kuwa nasubira
U UNLOCK JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 268 Reaction score 37 May 30, 2014 #3 Mpaka mwaka mpya wa fedha nadhan!
I Isabebe Member Joined Apr 3, 2014 Posts 10 Reaction score 1 May 30, 2014 #4 kishindo tafadhali toupdate nn kinaendelea
N NGASSIWA MTOTO Member Joined May 7, 2014 Posts 23 Reaction score 2 May 30, 2014 #5 j4 tafuta gazeti la uhuru
EL ELYON JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,675 Reaction score 2,115 May 30, 2014 Thread starter #6 ngassiwa mtoto said: j4 tafuta gazeti la uhuru Click to expand... wewe kijana acha kuwadanganya wenzio japo sjaomba kaz hzo,bt gazet la maccm hlo ni propaganda na uwongo tu kulinda serikali.
ngassiwa mtoto said: j4 tafuta gazeti la uhuru Click to expand... wewe kijana acha kuwadanganya wenzio japo sjaomba kaz hzo,bt gazet la maccm hlo ni propaganda na uwongo tu kulinda serikali.
N NGASSIWA MTOTO Member Joined May 7, 2014 Posts 23 Reaction score 2 May 30, 2014 #7 hope1985 said: wewe kijana acha kuwadanganya wenzio japo sjaomba kaz hzo,bt gazet la maccm hlo ni propaganda na uwongo tu kulinda serikali. Click to expand... ndo gazet wanalotumia makada,raia wawe,wapole na wavumilivu but next week yaweza kupakuliwa,wa kula wale na wa kutapika watapike
hope1985 said: wewe kijana acha kuwadanganya wenzio japo sjaomba kaz hzo,bt gazet la maccm hlo ni propaganda na uwongo tu kulinda serikali. Click to expand... ndo gazet wanalotumia makada,raia wawe,wapole na wavumilivu but next week yaweza kupakuliwa,wa kula wale na wa kutapika watapike
EL ELYON JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,675 Reaction score 2,115 May 30, 2014 Thread starter #8 ngassiwa mtoto said: ndo gazet wanalotumia makada,raia wawe,wapole na wavumilivu but next week yaweza kupakuliwa,wa kula wale na wa kutapika watapike Click to expand... haya mkuu wa kaya,watacheki kama ningekuwa nmeomba na nkaskia jna lng lmeonekana kwny gazet hlo la kidaku ningelikwenda kulifuta.
ngassiwa mtoto said: ndo gazet wanalotumia makada,raia wawe,wapole na wavumilivu but next week yaweza kupakuliwa,wa kula wale na wa kutapika watapike Click to expand... haya mkuu wa kaya,watacheki kama ningekuwa nmeomba na nkaskia jna lng lmeonekana kwny gazet hlo la kidaku ningelikwenda kulifuta.
N NGASSIWA MTOTO Member Joined May 7, 2014 Posts 23 Reaction score 2 May 30, 2014 #9 hope1985 said: haya mkuu wa kaya,watacheki kama ningekuwa nmeomba na nkaskia jna lng lmeonekana kwny gazet hlo la kidaku ningelikwenda kulifuta. Click to expand... Hahaaaaaaaaa
hope1985 said: haya mkuu wa kaya,watacheki kama ningekuwa nmeomba na nkaskia jna lng lmeonekana kwny gazet hlo la kidaku ningelikwenda kulifuta. Click to expand... Hahaaaaaaaaa
Stevery2 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2012 Posts 396 Reaction score 47 May 31, 2014 #10 ngoja tusubiri tuone hiyo ijumanne,