Yani hao ni BURE kabisa!.wazee wa kuja bila maji eneo la tukio
hapo sasa sijui wanazimia mdomowazee wa kuja bila maji eneo la tukio
Mafanikio hakuna. Mioto inajiwakia hadi inazima, ndipo wanakuja, tena bila maji na vifaa muhimu. It's as if mioto kabla ya kulipuka inawapa rushwa maafisa wa zimamoto.Duh mbona mnawakatia tamaa hivyo